Nawezaje "kusponsa" post yangu kwenye mtandao wa instagram!? Msaada tutani

Ngonepi

JF-Expert Member
Jun 2, 2013
1,775
2,000
Kwa wataalam wa mitandao, nimeona mara nyingi watu waki"sponsa" post zao au matangazo mbalimbali kwenye mtandao wa Instagram, hii husaidia kupeleka 'bandiko' lako mbali hasa kwa ambao hawana wafuasi wengi!

Nawezaje kufanya hivi!? Wenye ufahamu tafadhali!

Sent using Jamii Forums mobile app
 

mathsjery

JF-Expert Member
Sep 26, 2015
1,935
2,000
Kwa wataalam wa mitandao, nimeona mara nyingi watu waki"sponsa" post zao au matangazo mbalimbali kwenye mtandao wa Instagram, hii husaidia kupeleka 'bandiko' lako mbali hasa kwa ambao hawana wafuasi wengi!

Nawezaje kufanya hivi!? Wenye ufahamu tafadhali!

Sent using Jamii Forums mobile app
Inaitwa kupromote, ukifungua post yoyote utaona button ya promote, Kisha fuata maelekezo, malipo unaweza tumia card ya bank, au zile za mitandao ya simu Kama Airtel na Voda Wana hiyo huduma ya kulipia online.

Bei ya kupromote inategemea na idadi ya watu unaotaka waone post yako Ila Ina range kwanzia $1++
 

Forgotten

JF-Expert Member
Jul 20, 2018
880
1,000
Kama ni personal account ibadilishe iwe business account alaf iunganishe na account ya Facebook, baada ya hapo post picha au video unayotaka kui-promote, baada ya kui-post utaona button (kitufe) ya blue imeandikwa promote, ukifika hatua hiyo utapata maelezo yote mpaka kufanya malipo.
 

Elly255

JF-Expert Member
Mar 30, 2017
880
1,000
Ingia youtube search tutorial za how to create/sponsor ads in Instagram utajifunza kila kitu.
Nb usipost ad yenye kupromote dawa sijui nguvu za kiume au mambo ya weight loss ,
watakuban account na hutaweza tena kupromote tangazo.
Muhimu soma kwanza Instagram advertising policies

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom