Nawezaje kurudisha outlook data

gmabumbe

JF-Expert Member
Sep 28, 2013
340
39
Habari wana jf!
Nime format hdd nime reinstall windows xp2. nahitaji kupata data zilizopo ktk outlook.naomba msaada nifanyaje?
 
Habari wana jf!
Nime format hdd nime reinstall windows xp2. nahitaji kupata data zilizopo ktk outlook.naomba msaada nifanyaje?




Ulitakiwa kifanya backup ya outlook data files kabla huja format. Hata hivyo nafasi uliyobaki nayo sasa ni kufanya data recovery kutafuta .pst na .ost files kwenye hiyo disk.

By the way uko wapi?
 
ilitakiwa ufanye backup ya data file la outlook. huwa linakaa kwenye folder la application data. kutegemea na os unayotumia na lina extension ya .pst. huwa ni hidden file hivyo kabla hijaanza kulisaka hakikisha option ya view hidden file iko enabled. then ukisha re install outlook una export.
 
Habari wana jf!
Nime format hdd nime reinstall windows xp2. nahitaji kupata data zilizopo ktk outlook.naomba msaada nifanyaje?

Kama uliformat kuzipata zikiwa intact ni vigumu sana. Cha kujifunza hapo ni kufanya backup ya outlook kabla ya kuformat pc.
Kama huwa una tabia ya kusahau kufanya backup basi tumia email tray. Hiyo ni email client inayoweza kufanya automatic backup na kuiSave sehemu unayoitaka.
 
Poa mkuu!

Mie nadhani nishasemaga mara nyingi humu kwa JF jamani msiingilie kazi za watu wengine haya sasa ushajua FORMAT-> NEXT-> NEXT -> NEXT ->INSTALL -> NEXT -> NEXT -> FINISH basi mtu anajiona kashakuwa mwana IT.Sasa mbona kwenye kuformat hukuomba msaada? Pole sana mkuu.Tafuta Pegasus Data Recovery itakutoa na zoezi lako la ku
recover outlook data zako.
 
Back
Top Bottom