DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,472
Kuna wazo la kibiashara nalifanyia kazi ila mtaji umebana sana. Najaribu kubuni mbinu ninazoweza kutumia ili nianze tu na chochote nilichonacho huku nikiboresha kwa jinsi ninavyosogea.
Ningependa kujua ni utaratibu gani wa kuchukua ili kupata viti, meza, miamvuli na labda hata jokofu za Coca-Cola bila gharama yoyote.
Nadhani kama sikosei watakuwa wana utaratibu fulani wa kutoa vitu hivyo kama njia ya kujitangaza.
Natanguliza shukrani.