Nawezaje kupata Storage kubwa ya disk?

Nawezaje kupata Storage kubwa ya disk?

Habari zenu wadau

Hivi naweza kupata Storage yenye ukubwa wa 100Tb kwa shingapi?
Je itakuwa ni disk moja au mengi?
Je maximum hard disk ni kiasi gani?
Je kwa Bongo yanapatikana?
Hdd kubwa ni Around 20TB kutoka manufacture wanaoeleweka wa Consumer HDD, hivyo utahitaji kama HDD 5 kupata 100TB. Ila kama wadau huko juu walivyosema matumizi ni muhimu kila HDD ina kazi yake hazifanani.

Na ukitoa Hdd kuna ssd zenyewe ni ghali ila ni rahisi kupata size kubwa 100TB ssd ina cost kama milioni 100 tu.
 
Hapo Kwenye milioni 100 tu sasa dahh
 
Hdd kubwa ni Around 20TB kutoka manufacture wanaoeleweka wa Consumer HDD, hivyo utahitaji kama HDD 5 kupata 100TB. Ila kama wadau huko juu walivyosema matumizi ni muhimu kila HDD ina kazi yake hazifanani.

Na ukitoa Hdd kuna ssd zenyewe ni ghali ila ni rahisi kupata size kubwa 100TB ssd ina cost kama milioni 100 tu.
Storage ya vitu vyangu Kama videos na picha
 
Habari zenu wadau

Hivi naweza kupata Storage yenye ukubwa wa 100Tb kwa shingapi?
Je itakuwa ni disk moja au mengi?
Je maximum hard disk ni kiasi gani?
Je kwa Bongo yanapatikana?
Disk yenye ukubwa huu wa 100TB hata ukifanikiwaa kuipata (kama single piece), bado itasumbua kwenye kusoma data. It's too big kwa machine zilizopo kwa sasa kuweza kui-accommodate ukubwa wake kuanzia kwenye RAM hadi kwenye machine processor speed. The chances ni kwamba machine yako itakuwa inakuwa very slow pindi utakapokuwa unai-connect kwa sababu ukubwa huu almost unaendana na type ya MINI-SUPER COMPUTER MACHINE. Nunua hizo za 20TB halafu uwe unaconnect one at a time
 
@moviestore
 
Hdd kubwa ni Around 20TB kutoka manufacture wanaoeleweka wa Consumer HDD, hivyo utahitaji kama HDD 5 kupata 100TB. Ila kama wadau huko juu walivyosema matumizi ni muhimu kila HDD ina kazi yake hazifanani.

Na ukitoa Hdd kuna ssd zenyewe ni ghali ila ni rahisi kupata size kubwa 100TB ssd ina cost kama milioni 100 tu.
Laptop yenye RAM ya 4GB 10 au 11Gen unaweza kuongeza RAM hadi ukubwa gani bila kupoteza uwezo wake.

Je, kuongeza RAM kunaongeza speed ya computer?
 
million 100 tu 😂😂
 
Laptop yenye RAM ya 4GB 10 au 11Gen unaweza kuongeza RAM hadi ukubwa gani bila kupoteza uwezo wake.

Je, kuongeza RAM kunaongeza speed ya computer?
Unaangalia motherboard mkuu, ila most of time ni 16GB ama 32GB max ram kwenye laptop za kawaida.

Kama ram yako ni 4GB ukiongeza ikienda 8gb ndio itaongeza speed sana. Angalau 8gb ndio unafanya mambo yako kwa uhuru, na hii win 11 ukiwa na 16gb ram si mbaya, hasa kama unaweka app za android.

Kujua kiasi gani laptop yako inasupport google tu jina la laptop ingia website ya manufacture kisha angalia maximum ram
 
Thank you.
 
Back
Top Bottom