Wakuu kwema?
Mimi nina rafiki yangu ni mwalimu wa masomo ya Chemistry na Biology.
Anawezaje kupata scholarship ya kusoma masters? Mwenye uzoefu, anawezaje kupambana kupata full funded scholarship?
NB: Preference yake ni Nelson Mandela Institution of Science and Technology(Arusha)
Asanteni^
Asante kwa ushauri mkuuHivi nyie mnadhani ufadhili ni wakupeana kama ccm wanavyopeana ndani ya familia eti
tafuta kwa admision ya chuo ukishapata admision ndio unatumia kuomba ufadhili sasa, uzuri usupopata unaweza ku-defer admision to next year ukipambana na ufadhili
Wapi huko unataka wakati agents kibao,mtafute Mona LisaWakuu kwema?
Mimi nina rafiki yangu ni mwalimu wa masomo ya Chemistry na Biology.
Anawezaje kupata scholarship ya kusoma masters? Mwenye uzoefu, anawezaje kupambana kupata full funded scholarship?
NB: Preference yake ni Nelson Mandela Institution of Science and Technology(Arusha)
Asanteni^
Tafuta vyuo vya India au China(Arusha) Nelson Mandela mkuu
Mona Lisa ni nani, mbona sijamjua
Aombe chuo kwanza na aendelee kufuatilia website ya nm-aist atakutana na matangazo scholarshipsNdio mkuu
Acha uvivu. Haujui nm-aist ni nini?Naomba itag iyo web au nitypie hapa mkuu
Mbona Mimi nikifungua website yao nikitaka kuapply inagoma??? Nahangaika tangu juziAcha uvivu. Haujui nm-aist ni nini?
Bado sijafanya application...sawa itabidi niwachekiIlikua inafanya kazi
Nimechek pia naona can't be reached.
Apo ni kuwachek km hujaapply bado