Mkuu hiyo website yao haifanyi kazi ile ni geresha tu, kama una namba ya nida hebu ifanyie majaribio uone kama itakupa matokeo sahihi.Jaza hii form: https://services.nida.go.tz/get_nin
Mi sina shida nayoMkuu hiyo website yao haifanyi kazi ile ni geresha tu, kama una namba ya nida hebu ifanyie majaribio uone kama itakupa matokeo sahihi.
Basi nenda NIDA iliyojirani chapMkuu hiyo website yao haifanyi kazi ile ni geresha tu, kama una namba ya nida hebu ifanyie majaribio uone kama itakupa matokeo sahihi.
Njia ya Mwisho kutoa Bure. Baada ya hapa utalipia.Mkuu hiyo website yao haifanyi kazi ile ni geresha tu, kama una namba ya nida hebu ifanyie majaribio uone kama itakupa matokeo sahihi.
Mkuu hata hiyo nilishajaribu hakuna chochote kinachojibiwa.Njia ya Mwisho kutoa Bure. Baada ya hapa utalipia.
Kama hujapata NIN tumia njia hii, Tuma ujumbe kwa mpangilio huu: JINA LAKO LA KWANZA*JINA LA MWISHO*TAREHE YAKO YA KUZALIWA*MWEZI WA KUZALIWA*MWAKA WA KUZALIWA*JINA LA KWANZA LA MAMA MZAZI*JINA LA MWISHO LA MAMA MZAZI kisha kutuma SMS kwenda namba 15274.
Mfano: MUSA*JUMA*02032003*MARIAM*ALI kwenda 15274. Utapokea SMS papohapo ikikujulisha hali ya Kitambulisho chako.
Zingatia: Tumia alama ya nyota (*) kati ya kila kipengele, andika majina yote kwa HERUFI KUBWA kama yalivyo kwenye fomu ya maombi.
PMMkuu hata hiyo nilishajaribu hakuna chochote kinachojibiwa.