Nawezaje kupata fundi kwa ajili ya mradi wangu wa kutengeneza biomedical equipment?

DA HUSTLA

JF-Expert Member
Mar 5, 2012
3,663
3,882
Habari watu wa Mungu,

I have idea ya kutengeneza biomedical equipment /software ila kuanzia development yake mpaka ku-implement inatakiwa fungu kubwa, so nawezaje kupata fund whether kutoka makampuni ya software au biomedical, kuanzia kuandika seducing proposal mpaka kupata mdau.

Thanks
 
Kajaribu Buni labhuwa wanakuja wazungu watu wanapitch projects zao then wanaofanya vizuri wanawapeleka huko nje kupitch kwa investors.
 
Hongera kwa kuwa mbunifu mkuu. Ubunifu ni njia ngumu sana Tanzania na Afrika hivyo inabidi uwe geneus.

Jaribu kuwaona emperial innovation nimeona innovation zao wanaweza kukupa njia. Usushirikiane na mtu ambae hajawai fanya chochote bali walioanza angalau kufanya kitu.
 
Back
Top Bottom