Nawezaje kupata Credit card?

Darren2019

JF-Expert Member
Nov 23, 2019
1,112
2,379
Wakuu heshima kwenu.

Naomba kuelimishwa kuhusu credit card au visa card, upatikanaji wake na ufanyaji kazi wake kwa ujumla.

Unaweza vipi kuzitumia kununua bidhaa mitandaoni?

Shukrani.
 
Sina hakika kama Tanzania kuna Benki yoyote inayotoa credit card, ila ninachojua karibu benki zote zinatoa debit cards ambazo zinaweza kuwa mastercard, visacard au UnionPay. Karibu card zinazotolewa na benki zote either ni mastercard au visacard au UnionPay kwa hiyo unaweza fanya manunuzi mtandaoni.

Ila kama shida yako ni kufanya manunuzi tu na malipo mtandaoni nakushauri utumie airtel mastercard, ni rahisi maana ukiwa na airtel money tayari una airel mastercard ni ku request tu namba za card na CVV na expire date. Pia ina makato cheap kabisa.
 
Ubarikiwe mkuu shida yangu ni hiyo uliyojibu tu.
Much thanks
 
Back
Top Bottom