Njunwa Wamavoko
JF-Expert Member
- Aug 11, 2012
- 5,757
- 2,388
Hata kama ni 100Mbps huwezi ipata yote kama hizo factor nilizokuwekea hapo juu haziko fullfilled.
1. Kama chanel alocated ni moja, na ninyi watumiaji mpo 3 mnaotumia at same time, kila mmoja hawezi fikisha, simply mtagawana.
2. Kama quality ya signal ni mbovu, hata katika channel uwe peke yako huwezi fikisha 100Mbps
Nk
hizo ni theoritical value mkuu sijasema popote kwamba unafikisha hiyo speed mara nyingi utaishia 50Mbps