Nawezaje kuongeza urefu wa kimo?

Nawezaje kuongeza urefu wa kimo?

omarion5

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2017
Posts
5,206
Reaction score
17,686
Wakuu habari zenu,

Natumai mko powa sana na harakati za maisha ya hapa na pale kukimbizana huku na kule pia kinyonge sana na kwa masikitiko tunaendelea kulia juu ya msiba wa kijana mwenzetu.

Ok niende moja kwa moja kwenye mada, kuongeza height(urefu) binadamu wa kawaida mwanaume una urefu 156cm ambayo ni sawa na 5foot hiyo ni wastani akiwa chini ya hapo ni mfupi mwanamke 150cm sawa na 4.9foot.

Binafsi nina 154cm nawezaje ongeza height yangu nifike average?

Natanguliza shukrani.
 
Bahati mbaya hujaeleza umri wako.Kuongeza urefu hata kwa centimetre moja tu inawezekana pale ujazo wa mifupa yako (bone density) inapoongezeka. Kitu cha kuongeza ujazo(density) ni madini ya calcium. Kula vyakula vyenye madini ya calcium kwa wingi kv dagaa, maziwa,nk.
 
Nina miaka 25 mkuu
 
Inabidi nianze na hiyo diet mkuu maziwa na dagaa na samaki
 
Best ebu kuwa mpole kwanza nyie watu wafupi mnafaida nyingi sana maishani ila hamjiamini,kwanza kama ni usiku ni rahisi kumdanganya konda wewe denti japo unfamilia
Hivyo mungu akupe nini we mwana wa adamu
 
Mkuu we upo na height gani?
 
Back
Top Bottom