Nawezaje kuondoa matangazo kwenye android?

mi nafikiri ili usipate matangazo labda utumie apps za kununua lakini hizi free apps lazima ziwe na ads on. cha ajabu playstore kuna application za ads blocker lakini kama haiuzwi ukidownload unaikuta imeandikwa contains ads.
 
Unatumia simu gani? Tayar inaonekan una malware humo kweny simu...njia ya uhakika ili kuwatoa ni kuiflash tu
 
Ingia setting,nenda kwenye app,force stop app zote ambazo huzitumii ,pia chukua cleanmaster play store inasaidia,au ingia facebook tembelea page ya tekno kona utapata suluhisho
Hata niki force stop zinatulia kwa muda ila zinaanza tena after sometime.

Sent from my TECNO M6 using JamiiForums mobile app
 
Msaada wataalam humu simu yangu nikiwasha data matangazo(ads) yanakua mengi mpaka inaboa jinsi ya kuzui hLi hiyo naomba masaada wadau
 
Yaani Nikisha Washa Data, Simu Inasumbua Sana, Inaleta Matangazo Mengi Mpaka Nashindwa Download Vitu, Yaani ninavyo Bonyeza Iingie Sehemu Fulani, Inaenda Kungine, Yaani Sipendi, Duh!! Haya Matangazo mi siyapendi hata kidogo
 
Kaburi la ads ni kuroot simu tu then unaistall adaway au adblocks.
 
Yaani Nikisha Washa Data, Simu Inasumbua Sana, Inaleta Matangazo Mengi Mpaka Nashindwa Download Vitu, Yaani ninavyo Bonyeza Iingie Sehemu Fulani, Inaenda Kungine, Yaani Sipendi, Duh!! Haya Matangazo mi siyapendi hata kidogo

Samahani mkuu unatumia simu ya aina gani, android/ios??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…