Sijaroot mkuu.Vipi ume root simu yako au hujairoot?
kweli hii ni dhulmaSasa wewe hutaki matangazo unadhani developer naye atanufaika VP na kazi yake basi Kama VP lipia ili mnufaishe developer na upate app ambayo ni free ads. Anyway unaweza tumia ADBLOCKER haipatikani playstore Google utaipata ila kiukweli sio fair kabisa.
Mie nafanyaga hivi Hatua ya kwanza iroot hiyo simuHabari zenu bandugu,
Naomba mwenye kujua namna ya kuzuia haya matangazo(ADDS),yanayotokea kwenye simu smartphone,yananikera sana maana unakuta unajambo la maana unafanya,mara linapita tangazo.
Tafadhali mwenye kujua
Mkuu nitaroot vipi sasa? Naomba procedure!!Root Simu Kisha Download Adaway Apk, Iactvate Itablock Ads Zote Pamoja Na Za Kwenye App.
Soma Hapa.. https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/17753544Mkuu nitaroot vipi sasa? Naomba procedure!!
haiwezekani kumwelekeza bila kurootRoot Simu Kisha Download Adaway Apk, Iactvate Itablock Ads Zote Pamoja Na Za Kwenye App.
Hiyo Adaway Aifanyi Kaz Bila Root Ila Kuna Ingne Inaitwa Adguard Ila Sio Nzur Kma Adaway...Hata Hivyo Root Ni Nzur Tuu Mbna....Mfano Mie Siwez Tumia Simu Ambayo Sijairoot.haiwezekani kumwelekeza bila kuroot
nasomaga na madhara yake humu okay mkuu nimekuelewaHiyo Adaway Aifanyi Kaz Bila Root Ila Kuna Ingne Inaitwa Adguard Ila Sio Nzur Kma Adaway...Hata Hivyo Root Ni Nzur Tuu Mbna....Mfano Mie Siwez Tumia Simu Ambayo Sijairoot.
Madhara Yake Hutegemeana Na Device Yako...Mara Nying Kma Ni Feki...Na Pia Kukosea. Lakin Kma Device OG Sidhani.nasomaga na madhara yake humu okay mkuu nimekuelewa