Kuna tangazo ambalo kila nikifungua web browser ni lazima lijifungue katika tab nyingine. Yaan ni kero mpaka nashindwa hata kufanya kazi zangu!
Nimeattach screenshots ya matangazo yenyewe.
Simu yangu ni rooted na Adblock nimetumia naona sio effective.
Please your help....
Kuna tangazo ambalo kila nikifungua web browser ni lazima lijifungue katika tab nyingine. Yaan ni kero mpaka nashindwa hata kufanya kazi zangu!
Nimeattach screenshots ya matangazo yenyewe.
Simu yangu ni rooted na Adblock nimetumia naona sio effective.
Please your help....
How Can I root My HTC ONE XL??
acha kutumia simu hiyo rudi kwenye kitochi utaachana na hiyo shida
Ila mahitaji ni haya
- Tumia Adaway ndio ufumbuzi
- Hii APK utaipata hapa: https://www.jamiiforums.com/tech-gadgets-and-science-forum/597635-msaada-wa-adaway-apk.html
- Pia ungesema ni simu ipi unatumia tungekupa njia sahihi ya kuifanyia ROOTING
- KARIBU
mkuu nisaidie namna ya ku-root LG lu6200 korea version
Matangangazo (ads) yamekuwa kero sana kwenye simu za android pale tu unapotumia simu yako kweye
application yoyote ile. Hii inakuwa kero pale unapocheza game au unasoma ghafla linakuja tangazo.
Njia za kufanya
-Hakikisha simu yako umei-root, kama haufahamu jinsi ya ku-root jifunze hapa
-Baada ya ku-root, nenda kwenye blowser ya simu yako tafuta "adfree" au ipakue hapa
-Baada ya kuishusha (download) install kwenye simu yako, ikimaliza ku-install ifungue fuata maelekezo hadi itakoleta message ya success, reboot simu yako
Hii sasa imeshakuwa "siriazi"!!!!!!!! hii L & R ni tatizo la kitaifa....... lakini mpaka kwenye english??????
Bora L na R kuliko sasa kuiandika xaxa
- How to Root LG Optimus LTE LU6200 Tutorial
- Fuatilia kwanza discusion hapa XDA | ROOT LG Optimus LTE LU6200 ICS 4.0.4 Needed | LG Nitro HD | XDA Forums
Fanya mambo mawilisamahani ndugu..tablet yangu haina playstore yani ipo
lkn haifunction kila nikiifungua..mpk imenifanya kutumia one mobile kudownload apps..unaweza kunisaidia nn tatzo maan nimegoogle mpk basi