Nawezaje kumuuliza mtu ikiwa ni mwehu ama la bila ya yeye kujihisi offended?

sijui lakini hata kama amesema hana hela suala la kuomba hela ya kununulia redio ndo nimeshangaa zaidi anyway ameshakwambia hana hela za kununua nguo kama kweli umempendaa ebu msaidie aiseee...
 
Imejen chief, kwa hali aliyonayo anataka anunue radio na si nguo ama viatu!.
 
bado sijaelewa ni mchafu kwamba nguo hazifuliwi?yaani zinaonekana chafu,je haogi ananuka? ama uchafu wa aje
 
we una kichaa ndo maana nakupa ukweli lazima niwape ukweli vichaa
Kwani nimekataa kuwa nina kichaa?. Sijakanusha kuwa nina kichaa, nimekubali kuwa sina kichaa ila bado unasisitiza jambo lile lile, ama we mwenyewe uamini kuwa umeniambia nina kichaa?.
Ukiwa unarudi jambo lile zaidi ya mara 3 hii inaonyesha ni namna gani ulivyo mwanamke mpumbavu.
Nimesema hivi, ninatumia kichaa nilichonacho kuwakabili wapumbavu.
 
sijui lakini hata kama amesema hana hela suala la kuomba hela ya kununulia redio ndo nimeshangaa zaidi anyway ameshakwambia hana hela za kununua nguo kama kweli umempendaa ebu msaidie aiseee...
Unajua hilo ndilo liliomtia shaka mleta mada kwa jinsi nilivyomwelewa,kwa mtu mwenye akili timamu na ujasiri wa kuomba hela angeanza na mavazi ambayo ndiyo yanamtambulisha na sio radio, hatahivyo hatuijui labda radio ana umuhimu nayo sana.
 
Kwani nimekataa kuwa nina kichaa?. Sijakanusha kuwa nina kichaa, nimekubali kuwa sina kichaa ila bado unasisitiza jambo lile lile, ama we mwenyewe uamini kuwa umeniambia nina kichaa?.
Ukiwa unarudi jambo lile zaidi ya mara 3 hii inaonyesha ni namna gani ulivyo mwanamke mpumbavu.
Nimesema hivi, ninatumia kichaa nilichonacho kuwakabili wapumbavu.
kuandika insha ndefu na maelezo ni dalili ya kutokujiamini
 
Unajua hilo ndilo liliomtia shaka mleta mada kwa jinsi nilivyomwelewa,kwa mtu mwenye akili timamu na ujasiri wa kuomba hela angeanza na mavazi ambayo ndiyo yanamtambulisha na sio radio, hatahivyo hatuijui labda radio ana umuhimu nayo sana.
:D :D :D :D :Ddaah alafu kama ni pisi kweli anakosa hata kudanga apate kilaki anunue nguo na sendoz khaaa
 
Kwake mavazi labda sio kipaumbele,anaweza akadanga halafu akanunu feni na kapeti ukashangaa
:D :D :Djamaa aforce akapaone anapoishi huyu manzi sio kawaida ukute kuvaa hivyo ni sehemu ya kazi.. HAKUNA MWANAMKE ASIEPENDA mavazi yuko radhi akope sasa huyu mmh ajabu
 
kuandika insha ndefu na maelezo ni dalili ya kutokujiamini
Msimamo wako ni upi kuhusu mimi?.
Mbona unabadili badili maneno? Kwa hiyo Nipuuze madai yako ya mwanzo kuwa mimi ni kichaa na nichukue dai la sasa la kutojiamini?.
Hutabiriki, unaandika chochote, uenda baadae ukaanimbia ndiyo maana nina miliki gari.
Ikiwa mtu anakuchana LIVE kuwa wewe ni mpumbavu then unasema mtu hajiamini basi neno kujiamini lina maana nyingi na moja wapo ni hiyo unayoijua wewe tu wengine hawajui.
 
Changamoto unayohisi ninayo na wewe pia unayo, bahati mbaya ujui kuwa unashida.
Embu ndiyo nini?. Lete kamsi yenye neno Embu then ndiyo unikosoe.
Useless people everywhere
Ngoja nikufundishe kitu bwana mdogo,
kuna mtu anaweza kuwa mchafu ila maisha yake ni yahadhi ya juu sana, hii huwa kama ni tamaduni furani,
chukulia mfano, Wasukuma si huwa mnawaita washamba mara wachafu lakini unaweza kujiringanisha maisha na msukuma, ikiwa kijana wa kisukuma posa(mahari) analipa kwa binti sio chini ya ng'ombe 10 kuendelea, sasa badirisha hizo ng'ombe kuwa pesa itakuwa ni kiasi gani.

Basi tuache habari za ng'ombe, hivi ushawahi kufika usukumani ndani ndani watu wanaishi nyumba za nyasi lakini wanao uwezo wa kufanya hata biashara ya kuuza piki piki au hata gari,
kaa na mtu kwanza hata kama sio hadhi yako muulize hata kimasihara kuwa mbona umekuja haujavaa kagauni kazuri maana mimi napenda kukuona umevaa kagauni ndipo naye atatoa ya moyoni, mtakuja tupa dhahabu mnaziona hivi hivi,

(jokes)Harafu mabikra wengi huwaga ni wachafu wachafu,
 
😂😂 Kuna ukweli fulan juu kauli yako kuhusu mabikra.
Ila jana nilimuuliza, akasema ana changamoto ya kifedha amezunguka sana kutafuta kazi lakini hakuna.
 
Back
Top Bottom