Nawezaje kumuuliza mtu ikiwa ni mwehu ama la bila ya yeye kujihisi offended?

mbalaka

JF-Expert Member
Oct 7, 2017
2,241
2,622
Ninatafuta namna ya kumsaidia si kumdhalilisha.

Ni hivi, Several months ago nikiwa katika harakati zangu nilikutana na bint mmoja anafanya kazi ya Ufagizi na kukata nyasi barabarani akaniomba nim-ride mkahawani, toka pale alipokuwa ni almost km 1 hivi hadi mkahawani.

Huyu binti alikuwa mchafuu lakini hali hiyo sikuitilia mkazo kwasababu nimemkuta ana fanya kazi na kazi yenyewe ni kusafisha barabara. So, Bila hajidhi nikampaleka pale alipokuwa anataka kufika then nikaondoka zangu.

Jion yake nikakutana nae tena akiwa katika hali ile ile ila mara hii alinichangamkia sana baada ya story then tukabadilisha namba. kwa zaidi ya miezi 9 hadi juzi sikuwahi mtafuta hata yeye pia zaidi ya kuona namba yake whatsapp tu.

So juzi niliweka picha ya kidubwana fulani hivi kwenye Profile yangu ya whatsapp unexpectedly akanitumia ujumbe.. Mi nikazuga kama vile simjui, ni kaanza muomba utambulisho akaniambia mimi fulani fulan siku fulan ulinitendea hivi na vile then akatuma picha zake, mimi ninamchora tu.

Then Nika-pretend kumkumbuka from that particular moment story zikatanuka, kutanuka uko nikajikuta nimemuambia lini utakuja nisalimia? Ni wewe wetu, hata kesho naweza kuja, akanijibu hivyo.

Akaniambia sehemu aliyopo, nauli ni kiasi kidogo tu nikamuomba bank akaunt nikamtumia mara 2 ya nauli inayohitajika.

Kesho yake ndani ya muda alionimbia anakuja akanipigia simu kwamba muda huo anasubiri Tax so niwe around.. Baada ya muda fulani akaniambia ameshafika(nilimuelekeza mtaa na number ya nyumba ninayoishi) so mi nikachomoka mishe nikaibuka hadi pale maskani, nikampigia simu, kupokea tu akaniambia kuwa yupo nyuma yangu..

Nilivyo muona Moyo ukashituka, ni yeye kweli kanenepa ila amekuwa mchafuuu zaidi siku ninamkuta akifanya kazi ya ufagizi.. Nguo alizovaa ni chakavu na chafu sana na Sendo moja inaelekea kukatika.

Tukasogeleana uku moyo ukiwa mbali ila yeye aonyeshi hata hali ya kujistukia na yupo comfortable sana tu.
Nia ya kum- usher inside ili tupige story ikaisha yaani hata boldness ya kusimama nae tu pale ikaanza potea kwa kasi..

Yaan ni chafu kiasi kwamba mtu yoyote akimpita ni lazima aanze udadisi juu yake.
Hapa naishi ni Apartment kubwa watu wanaingia na kutoka muda wote so ili kuepusha macho ya watu nikamvuta pembeni mbali na boom gate nikaanza kumpigisha story za juu juu ili nipate chansi ya kumhepa.

Nikamuambia nisubiri hapa, nikaenda kwa shop jiran nikanunua cold drink nikampa then nikamwambia ngoja nifuata funguo ninarudi.

Nikaondoka, ila hapo katikati kabla ya kuondoka wakati tunapiga story aliniambia siku nikiwa na pesa nimpe pesa kiasi Fulan anataka anunue radio ya kusikiliza mziki.

Vile alivyoniambia hivyo ndiyo akanivuruga kabisa:, why awazie nunua Radio na si nguo na viatu vitu ambavyo hana kabisa!! Huyu atakuwa Mwehu.

Baadae alinitumia jumbe siku jibu, nilikuja kumjibu usiku na kutoa sababu bandia.

Hadi sasa ananitumia text ninamjibu fresh ila najua hayuko sawa ila ninashindwa nianzie wapi kumuuliza nini shida.

20220813_231326.jpg
 
Ulienda Mpumalanga ukamkimbia. Hasa kama ana asili ya Msumbiji, sidhani kama wale watu ni wasafi kaka sisi. Kwenye picha sioni kichaa, nikajua utaleta ukichaa wake namna anavyoongea kumbe ni namna anavyovaa chakavu.

Ashazoea umaskini huyo hana nguo za kuja nazo apartment wakati anakaa slum
 
View attachment 2323334
Kuliko kumuuliza hilo swali, muulize kwa nini ni mchafu hata akiwa nje ya majukumu yake? Katika magonjwa yote, ya akili huwezi kujua kama unaathirika/ unaumwa!
 
Halafu kumpeleka demu wa siku moja unapoishi ni kosa moja kubwa sana la kiufundi. Au rafiki wa siku moja haitakiwi apajue kwako au familia yako.
 
Ni mbongo mwenzio au Msauzi?

Yeye mbona kwenye Picha anaonekana vya poa tu mwana, huyo sio kichaa ila Hana Hela ya kulipuka pamba tu mkuu, kama umemuelewa muhudumie uone atakavyong'aa
Kuna uwezekano wa mtu kunenepa wakati anapitia magumu?.
Unajua kanenepa na yupo comfortable sana na ile hali.
Nini kinamfanya anenepa na nini kinamfanya awe mchafu na kuwa na nguo chakavu ndicho kinanifikirisha sana. Kuna shida pahari.
Then hapo si SOUTH NI HAPA HAPA BONGO
 
Ulienda Mpumalanga ukamkimbia. Hasa kama ana asili ya Msumbiji, sidhani kama wale watu ni wasafi kaka sisi. Kwenye picha sioni kichaa, nikajua utaleta ukichaa wake namna anavyoongea kumbe ni namna anavyovaa chakavu.

Ashazoea umaskini huyo hana nguo za kuja nazo apartment wakati anakaa slum
Hana asili ya msumbiji, ni mwenyeji wa hapa hapa Ngwea na hizo picha sijui ni za kipindi gani, mimi alinitumia tu wakati ninahoji utambulisho wake.
Ikiwa ni ugumu wa maisha why anenepe vile?. Uliwai kutana na mtu anae nenepa wakati wa magumu?
 
Kuandika kwako tu shughuli
Embu acha kudhalilisha watu
Changamoto unayohisi ninayo na wewe pia unayo, bahati mbaya ujui kuwa unashida.
Embu ndiyo nini?. Lete kamsi yenye neno Embu then ndiyo unikosoe.
Useless people everywhere
 
Kuliko kumuuliza hilo swali, muulize kwa nini ni mchafu hata akiwa nje ya majukumu yake? Katika magonjwa yote, ya akili huwezi kujua kama unaathirika/ unaumwa!
Boldness ya kumuuliza ili swali ndiyo sina.. Sijui nianzie wapi?.
 
Back
Top Bottom