Imejen chief, kwa hali aliyonayo anataka anunue radio na si nguo ama viatu!.sijui lakini hata kama amesema hana hela suala la kuomba hela ya kununulia redio ndo nimeshangaa zaidi anyway ameshakwambia hana hela za kununua nguo kama kweli umempendaa ebu msaidie aiseee...
alafu anaongea kingereza fresh au kazi maalumu huyoImejen chief, kwa hali aliyonayo anataka anunue radio na si nguo ama viatu!.u
we una kichaa ndo maana nakupa ukweli lazima niwape ukweli vichaaNdiyo maana simng'unyi maneno pale ninapowakabili wapumbavu.
Hana shida na pamba,anashida na radio tu,yeye anajikubali ndio maana jamaa akahoji hiloMpige pamba.
Sometimes hao ni watu maalum kwa shughuli maalum
Kwani nimekataa kuwa nina kichaa?. Sijakanusha kuwa nina kichaa, nimekubali kuwa sina kichaa ila bado unasisitiza jambo lile lile, ama we mwenyewe uamini kuwa umeniambia nina kichaa?.we una kichaa ndo maana nakupa ukweli lazima niwape ukweli vichaa
Unajua hilo ndilo liliomtia shaka mleta mada kwa jinsi nilivyomwelewa,kwa mtu mwenye akili timamu na ujasiri wa kuomba hela angeanza na mavazi ambayo ndiyo yanamtambulisha na sio radio, hatahivyo hatuijui labda radio ana umuhimu nayo sana.sijui lakini hata kama amesema hana hela suala la kuomba hela ya kununulia redio ndo nimeshangaa zaidi anyway ameshakwambia hana hela za kununua nguo kama kweli umempendaa ebu msaidie aiseee...
kuandika insha ndefu na maelezo ni dalili ya kutokujiaminiKwani nimekataa kuwa nina kichaa?. Sijakanusha kuwa nina kichaa, nimekubali kuwa sina kichaa ila bado unasisitiza jambo lile lile, ama we mwenyewe uamini kuwa umeniambia nina kichaa?.
Ukiwa unarudi jambo lile zaidi ya mara 3 hii inaonyesha ni namna gani ulivyo mwanamke mpumbavu.
Nimesema hivi, ninatumia kichaa nilichonacho kuwakabili wapumbavu.
daah alafu kama ni pisi kweli anakosa hata kudanga apate kilaki anunue nguo na sendoz khaaaUnajua hilo ndilo liliomtia shaka mleta mada kwa jinsi nilivyomwelewa,kwa mtu mwenye akili timamu na ujasiri wa kuomba hela angeanza na mavazi ambayo ndiyo yanamtambulisha na sio radio, hatahivyo hatuijui labda radio ana umuhimu nayo sana.
Kwake mavazi labda sio kipaumbele,anaweza akadanga halafu akanunua feni na kapeti ukashangaadaah alafu kama ni pisi kweli anakosa hata kudanga apate kilaki anunue nguo na sendoz khaaa
jamaa aforce akapaone anapoishi huyu manzi sio kawaida ukute kuvaa hivyo ni sehemu ya kazi.. HAKUNA MWANAMKE ASIEPENDA mavazi yuko radhi akope sasa huyu mmh ajabuKwake mavazi labda sio kipaumbele,anaweza akadanga halafu akanunu feni na kapeti ukashangaa
Msimamo wako ni upi kuhusu mimi?.kuandika insha ndefu na maelezo ni dalili ya kutokujiamini
Ngoja nikufundishe kitu bwana mdogo,Changamoto unayohisi ninayo na wewe pia unayo, bahati mbaya ujui kuwa unashida.
Embu ndiyo nini?. Lete kamsi yenye neno Embu then ndiyo unikosoe.
Useless people everywhere
😂😂 Kuna ukweli fulan juu kauli yako kuhusu mabikra.Ngoja nikufundishe kitu bwana mdogo,
kuna mtu anaweza kuwa mchafu ila maisha yake ni yahadhi ya juu sana, hii huwa kama ni tamaduni furani,
chukulia mfano, Wasukuma si huwa mnawaita washamba mara wachafu lakini unaweza kujiringanisha maisha na msukuma, ikiwa kijana wa kisukuma posa(mahari) analipa kwa binti sio chini ya ng'ombe 10 kuendelea, sasa badirisha hizo ng'ombe kuwa pesa itakuwa ni kiasi gani.
Basi tuache habari za ng'ombe, hivi ushawahi kufika usukumani ndani ndani watu wanaishi nyumba za nyasi lakini wanao uwezo wa kufanya hata biashara ya kuuza piki piki au hata gari,
kaa na mtu kwanza hata kama sio hadhi yako muulize hata kimasihara kuwa mbona umekuja haujavaa kagauni kazuri maana mimi napenda kukuona umevaa kagauni ndipo naye atatoa ya moyoni, mtakuja tupa dhahabu mnaziona hivi hivi,
(jokes)Harafu mabikra wengi huwaga ni wachafu wachafu,
Unakoseauna kichaa