Nawezaje kumuacha???

Wewe kama humpendi mwambie ili asipoteze muda wake kwako, kwa hiyo kama humpendi unaona ni halali kugawa nje sio. Bado hiyo sio sababu ya kucheat bwana
I agree sio sababu Ila ndo 'hali halisi' on the ground...ts too late tyr familia ipo na wana watoto kumwambia asipoteze muda sijui kam Ina mantiki ukizingatia mapenzi hayana guarantees,utakimbia hapo utaona huwezi ukimpata mpya viroja vyake tu utaona heri ulikotoka..unadhani kwa nini wanasemaga ndoa ngumu?..uvumilivu muhimu sana na kutafta namna ya kusolve tatizo at hand, kuquit isn't always the solution, Kuna watoto at stake mtawapa trauma bure
 
Kuwa mkweli na moyo wako na chagua moja. Kama ni mumeo basi kuwa naye na kubali madhira yote yatokanayo. Kama ni huyo mwingine kuwa naye na kubali yote yatokanayo.

Si vema kuwa na wanaume wawili kwa wakati mmoja na wote unalala nao.

Huitendei haki nafsi yako na hao wanaume.

U can't have it both ways...or rather, u can't have the best of both worlds
 
Huwenda una sababu zako za secondary za kufanya hivyo kwa hiyo pima uzito wa kilichokusababisha kufanya hivyo na madhara yake then utapata jibu sahihi.
 
Mpaka ufikie kuoa/kuolewa tayari umeshakubaliana na hali halisi na tena ukazaa Kinachonifanya ukachepuke ni kitu gani kama sio kukosa heshima
 
Ha ha ha jamaa fundi ujue,akiringanisha na mumewe viwango haviendani abadani..
 
Hakika nimesikitika mno mno but nashukuru kama unajua unachofanya si chema.Unajua tunapenda sana kuendeshwa na hisia zetu zaidi ya sisi kuziendesha.Maamuzi ya nyie kutokuoana ilikua ni nafasi nzuri sana ya wewe kuanza ustaarabu mpya wa kufocus kwenye future yako na kumuacha kabisa haijalishi unampendaje .Kwa mtu anayejielewa na innocent asingeweza kuja kufanya kitu kama icho ktk ndoa yake lakini ulikua mbinafsi na kujipenda mwenyewe ndo mana hata ukaolewa na huyo mwingine kwa ajili ya ndoa tu ukijua una mtu wako umpendae na hutamwacha na hii itakugharimu sana wewe ukimuacha huyo mchepuka wakati huna true love na mmeo utajuta maishani mwako kwa nini ulimwachia shetani atawale maisha yako na unahitaji maombi mazito Mungu akusaidie uanze upya ktk ndoa yako.Naamini maamuzi magumu ni kitu kizuri sana endapo unajiokoa ktk jambo baya na hii kitu inawezekana only ukiamua wewe binafsi hata bila ushauri.Na usijidanganye eti unamwacha polepole hiyo ni hatari kama unaacha acha maana huyo hakuhusi angekupenda angekuoa no matter the situation.Dah nna mengi lakini nawaachia wenzangu.UNATUMIKA AMKA.
 
Mpaka ufikie kuoa/kuolewa tayari umeshakubaliana na hali halisi na tena ukazaa Kinachonifanya ukachepuke ni kitu gani kama sio kukosa heshima
Mkuu watu wanaoana kwa sabau tu na si mapenzi ya kweli ni wengi sana na ndo maana haya yako lakini ukiwa na true love lazima utakua na huruma kumfanyia mwenzio vibaya.Niambie akisikia mumewe nae anamchepuko atafurahi?Tuacheni ubinafsi jaman.
 
Hujanielewa unapokua umeolewa hujichukulii maamuzi unavyitaka mmeoana mmekua mwili mmoja maamuzi mnachukua pamoja kabla ya kuolewa you're free to do whatever the hell u want to!!
Mwili mmoja?

Hakuna kitu kama hicho asilani. Hiyo ni sham

Na kusema ukiolewa hujichukulii maamuzi unavyotaka, si kweli.
 
Mwili mmoja?

Hakuna kitu kama hicho asilani. Hiyo ni sham

Na kusema ukiolewa hujichukulii maamuzi unavyotaka, si kweli.
Hahahaha reina.Huo ndo unaitwa ukweli mchungu kama mnaishi pamoja lazima mshirikishane vitu ili mambo yawe sawa kujifanyia mambo kivyako ndo kunaleta matatizo.Kuna mengine unaweza fanya binafsi kwa kutegemea mtu uliyenae lakini kwangu hiyo ndo naamini ktk umoja maana ni nguvu.So kama una mtu kimeo hapo ni shida.
 
Shetani mkubwa wewe ulaaniwe, nyie ndio mnatufanya tusioe wanawake tunaokutana ukubwani bz wanakuwa washafanya mengi, wewe endelea naye tu hata ukitaka MPE Tigo ila wewe ni malaya mbwa Mkubwa wewe IPO siku utaumbuka
Punguza munkali braza, jifunze kitu kupitia tabia yake hiyo.
 
Kabisa nakumbuka some years ago nilikua kwenye uhusiano mzito na mtu na hakuniambia ana mke na kweli unaweza kuamini kwamba alikua single so tulikaa ktk uhusiano kumbe mke alikua amesafiri kwenda nje ya nchi huku yeye anapeta sasa alivorudi anaanzaje kunidanganya kuwa simtaki ndo maana aliondoka mwenyewe kwenda nje na kuniacha sasa nashangaa amerudi so nikamsikiliza tu then akawa ananibembeleza sana nivumilie things will work better then tuoane we nikamwambia poa kaendelea kujibaraguza mwisho wa siku nilipopata wangu nikasepa zangu kimya kimya na mji nikahama akawa anasumbua akakutana na muhusika nikamwambia ndo mwenyewe sasa akasema so ndo unaniacha mazima au ndo mpango wa kando nikamwambia mi sio wa design hiyo nikisepa nasepa basi yakaisha lakini ningekua muhuni ningecheza rafu maana tulikua mikoa tofauti so isingekua shida.Maana alikua ni bonge la sponsor lakini nilipiga chini.
 
Aisee sio wewe Tu dada mupo wengi mapenz haya nomaa ndo mana wanawake wengi wakikutana na first lovers wao waliowatotoboa Bikra au Waliotokea kupendana sanaaa kama wewe na huyo kuna 60% ya kurudisha penz la zaman acha niendelee kuwepo wepo *Mustapha Unaoa Lin?? Aaaa bado nipo nipo sanaaa
 
Mkichepuka pia mnashirikishana?
 
Hamna kitu kama hiyo nikujiendekeza kama kweli mnapendana si muoane for better for worse kwa nini watu wawaingilie?Ina maana hamjielewi mnachotaka likitokea tatizo lazima mjue mnalitatuaje sio kuja kuwa michepuko tena maana hiyo sio suluhisho kama mnapendana oaneni.Mbona mimi tuliletewa vikwazo na tulikua indeep bt tulikomaa na ndoa ikaenda chuch kufungwa na maisha matamu yanaendelea wapinzani wote kimya.Life goez on sasa hapo ntatafuta mchepuko wa nini ?Hakuna kitu kizuri kirahisi duniani mnakomaa period.
 
Mkuu watu wanaoana kwa sabau tu na si mapenzi ya kweli ni wengi sana na ndo maana haya yako lakini ukiwa na true love lazima utakua na huruma kumfanyia mwenzio vibaya.Niambie akisikia mumewe nae anamchepuko atafurahi?Tuacheni ubinafsi jaman.
Na ndo hapo sasa, aseme kuna sababu ya yeye kukubali kuolewa sio aseme hawezi kumwambia hampendi sababu eti ni too late wana watoto tayari, kwa hiyo kabla hawajawa na mtoto alikuwa anampenda huku anachepuka au, huo ni unafiki tu na kutokujiheshimu
 
Mkichepuka pia mnashirikishana?
Ndo mana nikasema kama una mtu kimeo ni shida na namaanisha labda ni mchepukaji pia ni shida lakini kama yuko peace mbona mambo easy.Na ndo maana nikasisitiza aina ya mtu maana najua hatufanani.Na utachepuka kama ukiwa na kimeo lakini kama umeridhika na ulienae kuchepuka kunatoka wapi?
 
Kwa kuangalia thread zako za nyuma naona unanogesha jamvi.

Hata hivyo asante kwa hadithi...yanatokea kwenye jamii haya.


[HASHTAG]#heriniwepekeyangu[/HASHTAG]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…