Nawezaje kumuacha???

Huna msimamo ndio maana yanakukuta haya ulipaswa kujifunza kumwacha aende na uongeze upendo kwa mumeo inaonesha humpend muda mwingi unamfikiria ex wako,hemu jifunze kumwacha aende
 
Anipe kiwanja please asiitupe. This is not fair my kaka
 
Mmmh...wewe mwenzio kasaidiwa hadi ujenzi abomoe ukuta?
 
Mmmhhh....hizi ni ngonjera wallahi....kuna posts zako humu ulianza kulalamika mumeo anakudharau, mara anatishia kukuacha....leo umekuja na wewe kugegedwa nje ya ndoa.
 
Mlio oa mnaona mnavyogongewa wake zenu? unaagwa naenda sehemu fulani (ya mbali) kumuona rafiki yangu kajifungua kumbe analifuata jamaa.

akirudi k imetepeta na amechoshwa na jamaa. ukimgusa anadai safari imemchosha kumbe wapi bwana.

Hapa ndipo naukumbuka usemi wa bachelor mwenzangu kuwa "kuoa ni sawa na kujivisha bomu" muda wowote linaweza kukulipukia.
 
Miye binafsi sikulaum maana kwenye mapenzi ile perfect combos huwa hawaowani sijui kwanini. Na unayeowana nae atakuwa na tofauti kubwa tuu na yule ambaye hamkuowana.

Inawezekana dini imechangia msiowane, au kabila wazee hawalitaki, hata familia pia Elimu nayo inachangia kutokuwa pamoja.

Low performance on bed inakufanya ukumbuke yule wa zamani, treatment za huyu mpya siyo nzuri km yule wa zamani.

Pole sana km hayo ya hapo juu ndiyo yanayokusibu, mtaachana mkiwa watu wazima kbs. Wakati watoto watakapokuwa ndugu zako zaid ya ndugu wa kuzaliwa. Na hapo ss unaweza acha kbs mambo hayo.

Pole sana love Chemistry ni jipu lililoshindikana kwa wengi.
 
mshahara wa dhambi ni mauti, iko siku utafanyiwa "counter terrorism" na mume wako ukafanyiwa kitu ambacho hutakaa usahau maishani mwako, trust me nakwambia iko siku yako isiyo na jina kama ni kweli haya unayoyafanya....
 
Mshahara wa dhambi ni mauti,
Wewe endeleeni tu kutenda hiyo dhambi,Mungu atawalipa mshahara wenu.
 
mume wako atajua tu na utaaribu ndoa yako na maisha ya watoto wako, huyo mchepuko hatakaa amuache mke wake na atakudump kama toilet paper hapo ndo utaimba halleluya, acha uzinzi tubu na umrejee Mungu wako
 
Acha uzinzi, biblia inasema "kikichojificha ndani ya nyumba, iko siku kitaonekana juu ya paa". Baki njia KUU
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…