Nawezaje kumuacha???

Me nadhani inabd sasa ukue kihisia...unahitaj kufnya maamuzi magumu yatakayoumiza moyo na hisia zako kwa muda tu lakini ndo salama yako na yake...some tymz u need to let go for good if u realy love some1. So mwambie tha u nid to stop wat u r duin na ww ndo uamue kumkwepa hta ka yy atainsist stick kwny maamuzi yako...i gurantee u ukiwa criouz na ukiomba Mungu akusaidie, utateseka kwa muda wa mwez tu then u will b free for gud. I thnk itakusaidia co ww tu bali na yeye. Pole sanaaa
 
yaani angejua jamaa anamtumia tu hampendi wala nini? tena anamshangaa mke wa mtu kugegedwa nje nadhani anajisifu kwa kutomuoa maana hafai kabisa na ipo siku atamdump kama choo na hapo itakuwa too late maana atakuwa keshaharibu kwa mumewe
 
Eti dada ni kweli kuwa lengo la huu uzi wako ni kufukia ile issue ya Melo?
 
Kama mambo yenyewe ndio haya hizi ndoa zina mambo na siri nyingi sana. Miaka 6 kwenye ndoa bado unachepuka na jamaa yako wa zamani. Hivi kulikuwa na sababu gani hata hamkuowana??

Yule jamaa juzi aliemchoma mkewe kwa moto siri anaijua mwenyewe kwakweli. Kama mimi ndio mumeo na nikijua hii siri ipo kwa miaka 6 lazima nikukate mishkaki na kukuuza kabisa.


Ndukiiiii
 


Daaah. Nyie hatari.TUBU HIYO DHAMBI NA AMUA MOYONI KWA DHATI KABISA KUAMBATANA NA MUMEO INAWEZEKANA KABISA KAMA UMEWEZA KUUFICHA UOVU HUO KWA MUMEO MIAKA YOTE HIYO, BASI HATA KUUACHA UNAWEZA.
 
duh.kweli ndo maana maandiko yanatuambia tuishi na nyie viumbe kwa umakini..kumbuka mwanamke mjinga huvunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe.
 
Ndoa zina Siri nyingi kwa kweli. Mungu akusaidie uachane na Hiyo tabia mapema kabla hujaharibu ndoa yako.

Angekuwa anakupenda angekuoa mkae pamoja
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…