Nawezaje kumpa mtu link

Dah plz jaman me cjaelew fresh nimetest mara kibao bt imezingua!vp hvo vialama?
 
Dah plz jaman me cjaelew fresh nimetest mara kibao bt imezingua!vp hvo vialama?
chrisman49
Kama njia waliyokupa wadau hapo juu inakuwa ngumu kwako kuielewa kuna njia nyingine iangalie inaweza kukusaidia

Ingia HAPA na usome post #2 imeandikwa na Mwali, ukiyaelewa maelekezo hayo na kufanikiwa usisahau kumgongea like Mwali
{Sio vibaya na Cookie naye ukimgongea like. }
 
Last edited by a moderator:

Mkuu hebu tazama watu wanavyochemka, hii ni kuonesha hawajaelewa, naomba uelekeze vizuri, humo kwenye brackets za blue unaweka kitu gani au unaacha kama zilivyo then unaweka hiyo link kwe red?
 
Sasa somo limeeleweka, many thanks to Mwali and Cookie then please, tembeleeni HUMU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…