Zuia Sayayi;3771118]Cheki huu mfano hapa
(url="www.jamiiforums.com") HAPA (/url)
then hapo kwenye mabano ya ( ) badili yawe [ ]
hapo ningeweka moja kwa moja mabano ya [ ] ucngeona,
badala yake ungeona neno HAPA hlf hilo neno litakuwa highlighted na ukilibonyeza lingekupeleka jamiiforums
nadhani nime eleweka jaribu then uniweke hapa nione kama umeweza!
Tchao