Mnawapataga wapi kama hao wakuu??Amekula sana hela zangu.
Amepoteza muda wangu
Ameniharibia network na baadhi ya watu,
Amenitukana sana na kunidharirisha
Wazazi wake wote wananipa maneno mabaya juu yangu...
Na yeye dharau haziishi na maneno ya kuniumiza.
😅😅😅Mwanamke akikupenda atakuheshimu....