Yani unawaonea aibu hao wenzako kwenye group? Jitoe tuNitumie njia gani kuleft kwenye magroup ya WhatsApp bila member kujua kama nimeleft
hahaaa. itakuwa anataka kuleft group la familiar na la michango tu huyo ".....Yani unawaonea aibu hao wenzako kwenye group? Jitoe tu
Duuuhleft usiku wa manane wakati watu wamelala
Hahahahaaa!!!left usiku wa manane wakati watu wamelala
Du! Aisee!!Omba uadmin halafu waondoe kwanza wote kwenye group ukibakia peke yako hata ukileft hawatajua