Nawezaje kujua kama simu yangu imedukuliwa?

Hivi nawezaje kujua Kama simu yangu imetrakiwa(hacked/ kudukuliwa) kwa kutumia IMEI ?. Na je ntajiondoaje?
Unaweza pata kitu hapa Mkuu.
Screenshot_20201203-103201~2.jpg
 
Tofauti ni lugha tu [emoji16] forward na divert.

Kama unataka kufoward calls zako kwa mtu. Bofya *62*namba ya simu#

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Kwa nnavohisi...ukiforward halafu mtu akakupigia wote mnapokea..lakini divert mtu akikupigia wewe hata huioni inaenda direct kwa uliyeidivert...so mtu akikupigia inakuwa kama kampigia mtu mwingine
 
Sawa. Ila mimi binafsi hayo maneno huwa nayaona yakitumika kama nikivoelekeza. Ila kama una namna tofauti tueleweshe ili na sisi tupate kuyaelewa. Maana hii lugha iliondoka na bombadia

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Jinsi ya kuhack sms/Calls za mtu na kuzisoma / kupokea au kuckiliza mazungumzo yao bila yeye /wao
kujua

1. Unachukua cmu ya mtu unaetaka kumuhack
2. Then unapiga 21 unaweka namba yako ya cmu utakayopokea hzo msg/calls (mfano:[emoji117] *21*0659200302#) Ok .
3. Na ukitaka kuiondoa hii huduma unaipa [emoji117](##21# )

4. Ukitaka kujua kama kuna mtu amekuhack unapiga [emoji117]{ *#61# }

5. Unaweza pia kutumia hii ili kupata calls zote za mtu unaetaka kumuhack mazungumzo yake {61 0659200302#}Ok

Note:Endapo mtu uliemuhack atapigiwa cmu na kwako pia itaita ukiwai kupokea ww kabla yake ni lazma hutaulizwa mwenye cmu yuko wap
Lkn kama atapokea basi unaweza kusikiliza mazungumzo yao bila ya wao kujua hata kam utaongea hawawezi kukusikia [emoji817].
 
Call forwarding ni kuforward simu zote unazopigiwa kwenda namba nyingine wewe huwezi kuona, ila ukichapa code ya kuongeza iforward calls baada ya muda gani utaweza kuona ukipigiwa but ita kata. Diverting haina tofauti sana na hiyo forwarding ila divert ina fanya kazi kwa conditions mfano divert when not reachable, divert when no answer nk.

Hiyo ndio tofauti ya forwarding na diverting.

Kujua status ya service zote za calls piga *#002# na kuzuia/ deactivate piga ##002#.

Kujiunga kuna codes nyingi.
 
Jinsi ya kuhack sms/Calls za mtu na kuzisoma / kupokea au kuckiliza mazungumzo yao bila yeye /wao
kujua

1. Unachukua cmu ya mtu unaetaka kumuhack
2. Then unapiga 21 unaweka namba yako ya cmu utakayopokea hzo msg/calls (mfano:[emoji117] *21*0659200302#) Ok .
3. Na ukitaka kuiondoa hii huduma unaipa [emoji117](##21# )

4. Ukitaka kujua kama kuna mtu amekuhack unapiga [emoji117]{ *#61# }

5. Unaweza pia kutumia hii ili kupata calls zote za mtu unaetaka kumuhack mazungumzo yake {61 0659200302#}Ok

Note:Endapo mtu uliemuhack atapigiwa cmu na kwako pia itaita ukiwai kupokea ww kabla yake ni lazma hutaulizwa mwenye cmu yuko wap
Lkn kama atapokea basi unaweza kusikiliza mazungumzo yao bila ya wao kujua hata kam utaongea hawawezi kukusikia [emoji817].
Nimeshaipga lkn ##002# lkn nikitma sms narudishiwa ktk kwa mtu aliyenihack
 
Back
Top Bottom