Nawezaje kujiunga na ofa ya sms ya tigo

Singida ndio home

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
3,192
3,351
naombeni mnisaidie wanajamii naamini kuna wateja wa tigo humu ndan ningependa mnijuze namna ya kujiunga na ofa ya sms nyingi
 
Andika mia zaidi tuma kwenda 15509 unapata dakika kumi na sms 100 kwa siku mpk sa sita usiku..
Pia unaweza kuweka buku afu unatuma msg tano kwa watu wako,then tano jumla zinakua kumi..halafu unasubiri ujumbe flani watakutumia baada ya hapo unapewa msg 200 kwa siku hiyo.
 
*148*01# chagua kifurushi then utaona SMS utapata sms 100 na dk 10 za maongezi na kila siku utakatwa mia 5 na kupata hizo kila siku hakikisha hulalwi bila kuacha mia 5 kwny cmu
 
kuna TANO zaidi tsh 250 sms 15 na dk5 pia MIA zaida tsh 500 sms 100 dk 10 tuma kwenda 15313
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom