Nawezaje kujifunza programming

Yohimbine

JF-Expert Member
Jan 6, 2019
844
1,754
Habari za uzima wakuu katika jukwaa la teknolojia...Awali ya yote mimi ni kijana wa kitanzania mwenye mapenzi makubw sana ya teknolojia japokuwa sio kitu ninachosomea katika elimu yangu ya juu.

Katika utafiti wangu nimegundua kwa maisha ya sasa unahitajika kuwa na angalau ya ujuzi katika teknolojia, kwa muda sasa japo ratiba yangu ni ngumu nimejitahidi kujifunza programming languge mbalimbali kama vile python kwa kutumia google na YouTube lakini mwisho wa siku nimekua ni mtu kukariri na si kuelewa hivyo napata wakati mgumu sana katika safari yangu hii ya kujifunza elimu hii.

Naombeni mwenye ujuzi wowote kuhusu namna gani bora ya kujifunza kuhusu programming anieleweshe nia na dhumuni nataka sana nijifunze na kuelewa kuhusu SEO mimi ni complete begineer .

NAWASILISHA🤝
 
Habari za uzima wakuu katika jukwaa la teknolojia...Awali ya yote mimi ni kijana wa kitanzania mwenye mapenzi makubw sana ya teknolojia japokuwa sio kitu ninachosomea katika elimu yangu ya juu.Katika utafiti wangu nimegundua kwa maisha ya sasa unahitajika kuwa na angalau ya ujuzi katika teknolojia, kwa muda sasa japo ratiba yangu ni ngumu nimejitahidi kujifunza programming languge mbalimbali kama vile python kwa kutumia google na YouTube lakini mwisho wa siku nimekua ni mtu kukariri na si kuelewa hivyo napata wakati mgumu sana katika safari yangu hii ya kujifunza elimu hii.Naombeni mwenye ujuzi wowote kuhusu namna gani bora ya kujifunza kuhusu programming anieleweshe nia na dhumuni nataka sana nijifunze na kuelewa kuhusu SEO mimi ni complete begineer .NAWASILISHA
Upo kwa wapi mkuu
 
Habari za uzima wakuu katika jukwaa la teknolojia...Awali ya yote mimi ni kijana wa kitanzania mwenye mapenzi makubw sana ya teknolojia japokuwa sio kitu ninachosomea katika elimu yangu ya juu.

Katika utafiti wangu nimegundua kwa maisha ya sasa unahitajika kuwa na angalau ya ujuzi katika teknolojia, kwa muda sasa japo ratiba yangu ni ngumu nimejitahidi kujifunza programming languge mbalimbali kama vile python kwa kutumia google na YouTube lakini mwisho wa siku nimekua ni mtu kukariri na si kuelewa hivyo napata wakati mgumu sana katika safari yangu hii ya kujifunza elimu hii.

Naombeni mwenye ujuzi wowote kuhusu namna gani bora ya kujifunza kuhusu programming anieleweshe nia na dhumuni nataka sana nijifunze na kuelewa kuhusu SEO mimi ni complete begineer .

NAWASILISHA
Binafsi nlkua nasoma Python kwa YouTube vidz hadi tutorials za masaa 6 namaliza lakini nmeona ki ukweli ni challenge sana kuelewa nahisi kuna vitu nakosa vya kuanzia ili kuielewa..., Natamani sana kuijua hii programming language..

Ukipata muongozo mzuri nitag mkuu..
 
Kma ni absolute beginner nakushauri usome basic concepts of programming kwanza. Ujue concept za integers, floats, doubles, strings and characters. Ujue basics za maswala ya procedural and functional programming. Ujue maana za vitu kma API, object-oriented programming, documentation, libraries, nk. Knowledge za hivi vitu zitakusaidia kwenye tutorial kuelewa nini kinaongelewa na kina fanyaje kazi.

Kiukweli kma ni beginner kabisa na unataka kuelewa sikushauri utumie YouTube pekee kujifunza. Tumia YouTube kma reference point ya kukusaidia kuelewa jinsi concept flani inavyofanya kazi.

Kma beginner nakushauri usome course ya beginners kwenye language husika kwenye sites kama udacity, coursera, w3schools na kuwa na kitabu. Kitabu ni muhim sana kwa beginner. Unaweza pata vitabu kupitia site ya Zlibrary hapa: b-ok.africa

Point ni:

1. Soma kitabu tumia YouTube kma reference tu.

2. Soma language unayotaka kufanyia kazi kwenye sehem flani. Huwezi soma vyote kwa wakati mmoja. Anza na language moja unayotaka kutumia kufanya project kwenye platform flani na ufanye mazoezi kuelewa concepts.

3. Tumia website ya Codewars kufanya mazoezi kupima uelewa wako katika kusolve basic problems kutumia lugha unayosoma

4. Kuwa mvumilivu sana. Jua huwezi toka from beginner to master ndani ya miezi mi 3. Haipo hyo, labda kma wewe ni genius kweli kweli. Jua kwamba huwezi soma language miezi mi 3 na ukaweza kucode site nzima ya Jamiiforum. Uvumilivu na kuelewa kuwa hichi kitu sio cha kusoma mwezi mmoja ukamaliza ni muhimu sana

Hivi vitu vitakusaidia, vilinisaidia mimi japo kuwa bado ninasoma.
 
Shukrani sana mkuu, Nafikiri sasa nmejua shida niliyokua napata tatizo lake ni nini..
 
Spend 8 hour per day hakuna concept itakayo kuwa ngumu kwako. Create pruject , tumia stack overflow kuuliza aswali.
Tafuta nyuzi za kichwa kinachofanana na hiki humu JF watu wameeleza sana naona unarudia swali lililoulizwa mara nyingi humu.
Zingatia ten thousand hour princuple in learning. Nenda Quora site kuna wajuvi wa kutosha.
 
beginner tumia sana vitabu kuliko videos lakin pia soma data structure and alogarithm ya hiyo language na jitahid kila siku kuandika program ata tatu unazo waza mwenyew
 
... tumia stack overflow kuuliza aswali.
Asijidanganye...
Nina uhakika kila swali atakalouliza tayari limeshaulizwa mara kumi naa miaka iliopita huko (hadi mengine yamekuwa closed not accepting further comments)

Ma-developer wa S.O wanataka kabla hujapost swali lako, uwe ushafanya home work kwanza. Umesoma weeee kisha concept ikakuchanganya. Ndio unauliza sasa. Tena unauliza baada ya kuona hakuna aliyeuliza swali kama lako.
 
Kama umeshaangalia video za masaa 6 na haujisikii kama umeelewa, hii ni kawaida sana kwenye programming. Tatizo hapa ni kwamba una consume vitu vingi lakini hauvi apply.
Kwahiyo nakupa ushauri ambao siku niliopewa nilijiuliza kwanini sikupewa siku nyingi. Ushauri ni kwamba unapojifunza kitu jaribu kutengeneza project yako, unakua unajifunza kitu kidogo halafu unaki apply kwenye project yako. Mfano kama unajifunza javascript halafu siku hiyo ukasoma kuhusiana na event listeners jaribu ku apply event listeners kwenye project yako, siku nyingine hivyo hivyo tena. Hii itasababisha ukutane na challenge nyingi sana, na ukizi solve hautasahau ulisolve vipi.
 
Safi sana mkuu
 
Ngoja na mimi nijaribu kukujibu kutokana na uzoefu wangu huu mdogo.

Language nyingi za programming zinafanana misingi yake mfano kwa uzoefu wangu utaona language nyingi lazma zitakuwa na
  1. variable(initialization and declaration)
  2. Control Statement (if,switch)
  3. Iteration( while/do while/for loop) nk
  4. Data structure kwa OOP
  5. nk
Kwa upande wangu nafikiri language ya C ni nzuri sana kwa beginer kujifunza kwa sababu inakupa misingi ya programming, tofauti na language kama python na php.

Mfano kwenye variable declation upande wa C language huwa hiv int a; tofauti na kabsa na inavyofanyika kwenye python au php. Sasa mara nyingi madeveloper walitokea kwenye python au php na languages nyingine(nafikiri Ruby kama sikosei) zinazofanana na hizo hupata shida kushift kwenda lugha nyingine.

Ni rahisi sana kushift kutoka kwenye C kwenda kwenye langauge yoyote ile kwa sababu language nyingi ni C-typed

Note: Simaanishi pyhon au php ni mbaya, La hasha ni nzuri tu, na zinafanya vzr tu ila sishauri kutumika kwa beginer.

Mwl wangu mmoja aliwahi kuniambai kuifahamu langauge moja vzr inakupa asilimia 60 ya kujifunza langauge nyingine yeyote. Hivyo kama utakuwa umeijua vzr C inaweza kukupa asilimia 60 za kujifunza php, python, java na nyingine nyingi.

Kwa beginer ni vizr sana kuanza na vitabu, lkn sio mbaya pia ukitumia tutorials pamoja na reference kutoka sites husika.Hii itakusadia sana,
Usjichoshe kutaka kujua kila kitu kuhusu langauge husika.

Pia unaweza anza na tutorials video then ukaja kwnye vitabu, ila ukitaka kuanza kwenye tutorials vdeos ni vzr sana ukanunua tutorials kutoka site zinazouza course hizo mfano ( udemy.com/lynda.com) tofauti na youtube. Faida ya kununua kupitia sites hizo ni kuwa unaweza pata maoni kutoka kwa walionunu course hizo. Lkn pia inakupa faida ya kupata usadizi pale unapokwama kupitia account yako kwenda kwa instructor husika wa course. Mara nyingi course hizi hupungua hadi dola 10 za kimarekani ambapo zisdhani kama inazidi Tsh 3,5000 za kitanzania. Tsh 35,000 ni nyingi ila naamini kabsa hutajutia ukichagua course nzuri.

Baada ya kujifunza C hamia language yoyote unayotaka, kulingana na mahitaji yako, yaana kama unataka kwa developer wa web au desktop au mobibel app. Kama mdau mmoja hapo juu alivyoshauri ni vzr ujifunze kwa kufanya projects.

Ila nashauri unapoenda kujifunza langauge nyingie tofauti na C hakikisha unajifunza na framework yake ili upate urahisi wa kufanya project. Hakikisha unajua langauge husika vzr sio lazma iwe deep sana then hamia kwenye framework yake Mfano; Pyhon kuna Django framework, PHP kuna CodeIgniter, Laravel Framework, na nyingine nyingi tu, Ruby kuna Ruby On Rails framework nk

Unapoenda kujifunza langauge yoyote ni vzr ukasoma kwanza historia ya langauge husika ambapo itakueleza purpose ya hio language lkn pia itakusadia kukupa pengine hamu ya kujifunza language hio. Kumbuka kila langauge ina umuhimu wake kulingana na matumizi husika. Sidhani kama kuna langauge ni nzuri kushinda nyingine.

Hakikisha unajifunza language chache na kuzielewa vzr, hii itakufanya kuwa na muda mwingi kuzitumia langauge hizo. Pia fanya project nyingi uwezavyo zitakusadia kujua nini unatakiwa kujifunza kwenye langauge husika.

Nihitimishe sasa, usikate tamaa wakati unaposhindwa kuendelea kutokana na bugs wakati wa development hii hutokea sana, kwa asilimia kubwa matatizo mengi utakayoyapa yanaweza kuwa mapya kwako lakn sio kwa wengine. Zipo zita nyingi anazoweza pata majibu mfano stackoverflow.com

https://stackoverflow.com/

Mengine wadau wamewasilisha juu hapo.

Kila la kheri.
 
Well said. Ni vyema kuchukua mda mwingi kujifunza basics na kuzielewa kabla ya kukimbilia kutengeneza full apps na ma framework. Kma ukijifunza language ya OOP na ukaielewa basi kujifunza mengine inakua rahisi sana.

Foundation ndio kila kitu. Unatakiwa kujua na kuelewa classes ni kitu gani, objects ni nini, jinsi ya kutumia iteration vizuri, na kuelewa kila kipisi cha code kinafanya kitu gani. Ukikariri tu inakuja kuwa shida baadae unapokutana na bugs
 
Asijidanganye...
Nina uhakika kila swali atakalouliza tayari limeshaulizwa mara kumi naa miaka iliopita huko (hadi mengine yamekuwa closed not accepting further comments)

Ma-developer wa S.O wanataka kabla hujapost swali lako, uwe ushafanya home work kwanza. Umesoma weeee kisha concept ikakuchanganya. Ndio unauliza sasa. Tena unauliza baada ya kuona hakuna aliyeuliza swali kama lako.
Watajuaje kama umesoma wee? .
Unachosema ni kweli site yoyote hata hapa jf wapaswa kusearch majibu kwa kuandika swali kwanza kama limewahi ulizw ndio uulize, ni vizuri zaidi upitie maswali aina ya swali lako kwanza na si kukurupuka kuuluza.
 
Kwani mods wanasemaje?
Au wanapiga bani kwa kuuliza tena na tena hii sio stack Overflow mkuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom