Yohimbine
JF-Expert Member
- Jan 6, 2019
- 844
- 1,754
Habari za uzima wakuu katika jukwaa la teknolojia...Awali ya yote mimi ni kijana wa kitanzania mwenye mapenzi makubw sana ya teknolojia japokuwa sio kitu ninachosomea katika elimu yangu ya juu.
Katika utafiti wangu nimegundua kwa maisha ya sasa unahitajika kuwa na angalau ya ujuzi katika teknolojia, kwa muda sasa japo ratiba yangu ni ngumu nimejitahidi kujifunza programming languge mbalimbali kama vile python kwa kutumia google na YouTube lakini mwisho wa siku nimekua ni mtu kukariri na si kuelewa hivyo napata wakati mgumu sana katika safari yangu hii ya kujifunza elimu hii.
Naombeni mwenye ujuzi wowote kuhusu namna gani bora ya kujifunza kuhusu programming anieleweshe nia na dhumuni nataka sana nijifunze na kuelewa kuhusu SEO mimi ni complete begineer .
NAWASILISHA🤝