Nawezaje kuipata iPad yangu iliyoibwa?

Nawezaje kuipata iPad yangu iliyoibwa?

BarakaJr

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2014
Posts
289
Reaction score
78
Wana jf ,habarini za asubuhi,Jana walinipitia vibaka wakanikwapua simu mbili,ikiwemo ipad moja ambayo ni android,mwenye utaalamu wa namna ya kuitress tafadhali
 
Ipad ya android??? Nyie ndio mkipata hela mnanunua vitu kwa fasheni bora wamechukua wanaojua kuitumia!😛
 
Yaan watu wengine kweli bangi bado wakushauri wanakukejeli daaah ebwana eeeh hako kaipad uliwahi kueka appl yoyote ya security theft tuanze na hapo
 
Kukushauri tuuu kama uliwahi jisajiri kwa net search yeyote unaweza itafuta au kama siri unazifaham number za engeen yake unaipata
 
Kama ulishawahi kuinstall anti-theft app yeyote na kuiwekea password itakusaidia katka kuitrack. Hilo moja.

Pili, kama umeshawahi kujua IMEI- code za simu hasa ukibadili line zinnaweza hujulukana ktk kuitafuta. Hiyo ni endapo uliziandika some where. Kama ndiyo fika ktk ofisi za makampuni yaayoendana na aina ya laini.
Naomba unisaidie kuijua, iPod ya android ikoje?
 
Thanx nimekuelewa,wacha nifuate ushauri wako
 
Ipad ya android??? Nyie ndio mkipata hela mnanunua vitu kwa fasheni bora wamechukua wanaojua kuitumia!😛

Eeh bhana,sometimes kichwa kishavurugwa,coz sio hiyo peke yake,vimeibwa vingi
 
Mkuu kwanza hakuna ipad ya Android

Turudi kwenye mada
Kimsingi device zote zinazotumia android zikiibiwa na iwapo aliyeiba atafanya factory reset uwezekana wa kutrack kama uliinstall apps yoyote unakua haupo labda kama umeinstall avast ambaya inahitaji uroot device yako

Njia pekee ni kama una risiti ya hizo device zako na IMEI nenda polisi kitengo cha mitandao watakusaidia kujua namba gani inatumia device zako na watajua namna ya kufanya( ni ngumu na inaukiritimba sana lakini)
 
Nimekupata sawia
 
Back
Top Bottom