Nawezaje kuchakachua modem ili itumie line zote

Naanto Mushi

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
6,236
15,673
Habarini, nilikuwa natumia internet ya simu kwa njia ya USB kwenda kwenye pc sasa kama wiki moja hivi ile option kwenye simu imepotea.

Hapa nlipo nna modem mbili za huawei ya tigo na zain za siki nyingi sana. Ila hapa natumia internet ya halotel, sasa nlitaka msaada wa ku zi chakachua ili niweze kutumia na line ya halotel.

Asanteno
 
Kuhsu simu option ya tethering kupotea, jaribu kurestart simu tu. kwenye kuchakua modem download software DC Unlocker
 
kwa kweli huyo Mushi lazima atakufanya tuubmaana hamna namna
 
Kuhsu simu option ya tethering kupotea, jaribu kurestart simu tu. kwenye kuchakua modem download software DC Unlocker
Embu naomba maelezo hapo kwenye hiyo DC Unlocker. Nimeshaidownload kwenye simu. Sasa natakiwa nifanyeje? Naomba unipe step za kufanya
 
Wi fi nayo kwenye computer yangu setting za wireless nazo zimekufa.

Endelea kuwa mchaga jamaa yangu, maana siku ukiwa msukuma hilo jina itabidi ubatizwe upya!

Kama adapter ya wireless imepotea jaribu kuiwezesha kwa:

1. Nenda kwenye control panel. ( bonyeza windows key + R halafu andika neno 'control' kwenye RUN halafu enter)
2. Bonyeza option ya 'Network and internet'

Capture1.PNG

3. Bonyeza 'Change adapter settings'

Capture2.PNG

4. Right-click 'Wireless connection' na uchague enable. kisha save mabadiliko hayo.
5. Restart computer yako.

NB: Ukiendelea kutoipata, fungua computer yako kisha nicall ili tuelekezane hatua kwa hatua kuiwezesha kwa kutumia COMMAND PROMPT na njia zingine

mawasiano yangu yako kwenye profile
 
View attachment 342815

3. Bonyeza 'Change adapter settings'

View attachment 342817
4. Right-click 'Wireless connection' na uchague enable. kisha save mabadiliko hayo.
5. Restart computer yako.

NB: Ukiendelea kutoipata, fungua computer yako kisha nicall ili tuelekezane hatua kwa hatua kuiwezesha kwa kutumia COMMAND PROMPT na njia zingine

mawasiano yangu yako kwenye profile
Aisee asante kaka ila hii computet yangu ni special case nadhani labda nikutafute kabisa. Au unaonaje
 
Back
Top Bottom