Nikupe bure hata si kukuuzia. Yaani being a last baby sijui ndio imeongeza maana siku zote l expect people to do things for me. Na kupokea naona kama nawapa favor vile, l am learning to give. Mf: juzi tu ndio nimemnunulia zawadi kaka yangu tangia nizaliwe. Sikopeshi mtu zaidi ya laki 2; labda ndugu wa kuzaliwa nawe. Mwanaume ndio anaumia, hata nikiwa na mil 10 bank ila wajibu wake wa kunitoa out uko pale hata kama ana laki 2 tu bank.Mimi naomba uniuzie kiduchu Kaunga!
Dinazarde sijui kwanini, mimi huwa najisikia kusadia wakinamama/wanawake kuanzia laki 5 kwenda juu hata kama sina huwa nakopa halafu nabaki na madeni mimi....
Nikupe bure hata si kukuuzia. Yaani being a last baby sijui ndio imeongeza maana siku zote l expect people to do things for me. Na kupokea naona kama nawapa favor vile, l am learning to give. Mf: juzi tu ndio nimemnunulia zawadi kaka yangu tangia nizaliwe. Sikopeshi mtu zaidi ya laki 2; labda ndugu wa kuzaliwa nawe. Mwanaume ndio anaumia, hata nikiwa na mil 10 bank ila wajibu wake wa kunitoa out uko pale hata kama ana laki 2 tu bank.
Nastruggle kuinvoke the African hospitality kama inavyoelezewa na Beatus Katululu ktk kitabu chake The spirituality of hospitality: African and New Testimony perspectives.
...Ni tabia njema ambazo ni inborn,cha kufanya ni kwamba usitegemee positive returns baada ya kutoa msaada,utakuwa FREE.
Tunafanana....tungoje ushauri.
Me nimejitahidi kujifunza roho mbaya but nimeshindwa.
Njoeni niwafundishe ugaidi
Njoeni niwafundishe ugaidi
Nitashukuru, ila sijui kama ntafuzu manake nahisi hii tabia nimerithi...
Bi mkubwa ana roho nzuri sanaa, lakini Mzee alikuwa gaidi kupita maelezo...sijui kwa nini sijarithi kwa mzee...
So itakuwa nimerithi kwa bi mkubwa....
Tunafanana....tungoje ushauri.
Me nimejitahidi kujifunza roho mbaya but nimeshindwa.
Hebu nikopeshe buku mbili basi ...!!
Nirushie dola buku mbili ili nikukope sh buku mbili
Ushajua tatizo kaza roho....
Jifunze ubinafsi.....
Ujijali mwenyewe...
Na kabla hujajitoa utafakari sana negatives ya unalotaka kukifanya
Na kama upo free kuwa busy huo muda wala hutokua nao