Nawezaje kubadilika?

Dinazarde sijui kwanini, mimi huwa najisikia kusadia wakinamama/wanawake kuanzia laki 5 kwenda juu hata kama sina huwa nakopa halafu nabaki na madeni mimi....
 
Last edited by a moderator:
Tenda mema uende zako cl....Hivyo ndivyo ulivo
 
Dinazarde sijui kwanini, mimi huwa najisikia kusadia wakinamama/wanawake kuanzia laki 5 kwenda juu hata kama sina huwa nakopa halafu nabaki na madeni mimi....

Kuanzia elfu hamsini kama anazotaka Honey Faith hua hutakii!!!!ni kuanzia laki 5 kwenda juu umenichekesha et kama huna utakopa hii kalii
 
Last edited by a moderator:

Hata mimi hii kitu huwa ninayo sana, afu mwisho wa siku nadhulumiwa.
 
Hata mimi hii kitu huwa ninayo sana, afu mwisho wa siku nadhulumiwa.

Mkuu hata mie nishadhulumiwa sana tu! Ila najitahidi kiasi last time nilimfikisha mtu korokoroni aisee, alilia kama mtoto mpaka nikaanza kumuonea huruma! Make alinikuta kipindi kibaya otherwise nilikuwa naelekea kumuachia
 
Umezaliwa mwezi wa ngapi?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

afadhal nmepata mtu wa kulilia shida zangu soon ntakutaarif!nakuombea usiache kuwasaidia watu,utafanikiwa zaid mbelen.M/mungu yupo pomoja nawe!
 

Ndo ulivyoumbwa binamu hata usijaribu kuishi maisha ambayo hayakupi amani, kama mtu ana shida na moyo wako uko radhi kumsaidia kwa nini usimsaidie kama tatizo liko ndani ya uwezo wako?

We jiachie tu binamu kwa raha zako kwan inahuu, wakupishe, halafu mwenzio nina shida ngoja nikifuate pm
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…