Short Boe
Member
- Nov 15, 2021
- 20
- 16
Mimi ni kijana umri wangu miaka 21 elimu yangu form four lakini nakabiliwa na changamoto ya kuandika sina amani na mwandiko wangu kila ninapoandika wenzangu wanacheka wanasema naandika kama mtoto wa shule ya msingi
Nimejitahidi kubadili lakini bado na hali hii inanikosesha raha kabisa ikitokea ishu ya kuandika hapa kazini napiga chenga msaada wenu wakubwa
Nimejitahidi kubadili lakini bado na hali hii inanikosesha raha kabisa ikitokea ishu ya kuandika hapa kazini napiga chenga msaada wenu wakubwa