Nawezaje kubadili default storage kwenye Nokia XL?

Nawezaje kubadili default storage kwenye Nokia XL?

DALA

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2009
Posts
2,259
Reaction score
4,691
Wakuu kichwa cha habari kinajeleza. Internal memory ya simu yangu imejaa sasa nataka ku save vitu kwenye Memory Card ila nimeshindwa kupata hiyo option.

Tafadhali naomba msaada kwa mwenye ufahamu.

Shukurani
 
Mara nyingi ni ndani ya application ndio unapata option hio.

Iache memory ya simu kwa ajili ya apps tu, vitu kama picha na video save kwenye memory card.

Set camera, whatsapp na app nyengine zisave kwenye memory card.

Kama kuna app hujui kuiambia isave kwenye memory card post hapa.
 
Nimejaribu kufanya hivyo kwa whatsapp naona nimebugi mkuu
 
Whatsapp inacreate mafolder automatic. kama unaspace ya kutosha hamisha folder zima la whatsapp toka internal memory kwenda kwenye sd card.

Hope una file manager.
 
Back
Top Bottom