NAWEZAJE KUANGALIA CHANEL 2 ZA DSTV KWA DECODER MOJA TV MBILI TOFAUTI

Deejay nasmile

JF-Expert Member
Nov 8, 2011
5,759
5,289
NAWEZAJE KUANGALIA CHANEL 2 ZA DSTV KWA DECODER MOJA TV MBILI TOFAUTI,MFANO CHUMBANI NIWEKE CHANEL SUPERSPOT 3,ALAFU KWENYE TV YA SEBULENI NIKAWEKA MNET...LAIKINI ZOTE ZITOKE KWENYE DECODER MOJA YA DSTV....MSAADA PLEASEEEE
 
Hilo HALIWEZEKANI, lazima uwe na decoder mbili, ila unalipia moja premium package na yapili unailipia kifurushi cha chini kabisa mradi tuu iwe hewani itakuwa inapata matangazo toka ile yakwanza. NOTE, zote ziwe zimesajiliwa kwa jina moja.
 
NAWEZAJE KUANGALIA CHANEL 2 ZA DSTV KWA DECODER MOJA TV MBILI TOFAUTI,MFANO CHUMBANI NIWEKE CHANEL SUPERSPOT 3,ALAFU KWENYE TV YA SEBULENI NIKAWEKA MNET...LAIKINI ZOTE ZITOKE KWENYE DECODER MOJA YA DSTV....MSAADA PLEASEEEE
Ni rahisi mkuu , hiyo kitu inaitwa extra view. Inabidi uwe na decoder mbili moja itakua primary decoder na ya pili ni secondary. Zote zaweza kua standard decoder au moja ikawa PVR/Explorer issue ni kwamba kama ukiwa na PVR/Explorer kwenye extra view na ukawa unalipia premium it's damn expensive kwasababu ya HD channels na hiyo extra view service.

As it stand now Dstv extra view with primary decoder being PVR/Explorer monthly premium subscription is 250,000/Tshs
 
Back
Top Bottom