Nawezaje ku- calculate CBM?

Nawezaje ku- calculate CBM?

KeXMO

Member
Joined
Jul 25, 2021
Posts
20
Reaction score
0
Natumai mko poa kabisa..

Napenda kufahamu namna ya ku-calculate cbm ili niweze kujua gharama ya usafirishaji
 
Cbm unajua ni nini?
Ni ujazo wa cubic
Yaani mita moja ya mraba!
Hivyo basi kama una mzigo kwenye kontena kipimo ni eneo hilo la mraba
 
272733E6-F575-43F7-A8F2-95BEC07DB680.jpeg

cubic meter is calculated by multiplying length, width and height of packages of goods.
 
Natumai mko poa kabisa..

Napenda kufahamu namna ya ku-calculate cbm ili niweze kujua gharama ya usafirishaji
Cbm si inakua calculated kwa ile hesabu ya mstatiri boss kama sijakosea,wanafanya urefu x upana wa mzigo x1000 ndipo upate cbm
 
Napenda kufahamu namna ya ku-calculate cbm
#1. Taarifa 4 huwa zinatakiwa ili kupata CBM
  • Urefu
  • Upana
  • Wima
  • Uzito wa mzigo husika katika Kg

#2. Baada ya kuwa na hizo taarifa #1 , Jaza kwenye hili jedwali kwenye hii link: CBM Calculator

1627956684677.png

kujua gharama ya usafirishaji
Ili kujua ghalama za usafirishaji, Wasiliana na kampuni utakayotumia kusafirisha mzigo wako, Wape jibu utakalopata hapo kwenye calculator #2.

#3. Kwa ufafanuzi wa kina zaidi tumia hii link: What Is CBM And How Do You Calculate It?
 
Cbm si inakua calculated kwa ile hesabu ya mstatiri boss kama sijakosea,wanafanya urefu x upana wa mzigo x1000 ndipo upate cbm

HAPANA! Umekosea

sahihi ni urefuxupanaxKimo

Length x Width x Height = CBM
 
Back
Top Bottom