Nawezaje ku- calculate CBM?

KeXMO

Member
Jul 25, 2021
20
0
Natumai mko poa kabisa..

Napenda kufahamu namna ya ku-calculate cbm ili niweze kujua gharama ya usafirishaji
 
Cbm unajua ni nini?
Ni ujazo wa cubic
Yaani mita moja ya mraba!
Hivyo basi kama una mzigo kwenye kontena kipimo ni eneo hilo la mraba
 
272733E6-F575-43F7-A8F2-95BEC07DB680.jpeg

cubic meter is calculated by multiplying length, width and height of packages of goods.
 
Napenda kufahamu namna ya ku-calculate cbm
#1. Taarifa 4 huwa zinatakiwa ili kupata CBM
  • Urefu
  • Upana
  • Wima
  • Uzito wa mzigo husika katika Kg

#2. Baada ya kuwa na hizo taarifa #1 , Jaza kwenye hili jedwali kwenye hii link: CBM Calculator

1627956684677.png

kujua gharama ya usafirishaji
Ili kujua ghalama za usafirishaji, Wasiliana na kampuni utakayotumia kusafirisha mzigo wako, Wape jibu utakalopata hapo kwenye calculator #2.

#3. Kwa ufafanuzi wa kina zaidi tumia hii link: What Is CBM And How Do You Calculate It?
 
Back
Top Bottom