Unaposema IT ni too general,unaweza kusoma online kutegemeana na kitu unachotaka kujifunza.Kwa mfano kama huna basic za networking itakuwa vigumu kusoma 'networking online" ila programming unaweza.
IT(software development,database administration,networking,System and information security,telecommunication,computer applications,etc) wewe amua kwanza unataka kujifunza nini katika IT then go for it.