Naweza soma IT online?

Naweza soma IT online?

Kibwagizo

Senior Member
Joined
Mar 21, 2012
Posts
130
Reaction score
8
Kama heading inavyosema, kutokana na kukosa muda wa kuingia darasani naomba ushauri wenu kama naweza kusoma IT, na je ni vitabu vipi vya kuanzia au kama kuna mtaalamu humu anafundisha kwa njia hizo( online)
 
Nenda pale Ucc ikiwezekana kule main campus, nenda pale horizon karibu na kituo cha baridi
 
Kama heading inavyosema, kutokana na kukosa muda wa kuingia darasani naomba ushauri wenu kama naweza kusoma IT, na je ni vitabu vipi vya kuanzia au kama kuna mtaalamu humu anafundisha kwa njia hizo( online)
Unaposema IT ni too general,unaweza kusoma online kutegemeana na kitu unachotaka kujifunza.Kwa mfano kama huna basic za networking itakuwa vigumu kusoma 'networking online" ila programming unaweza.
IT(software development,database administration,networking,System and information security,telecommunication,computer applications,etc) wewe amua kwanza unataka kujifunza nini katika IT then go for it.
 
Nashukuru mkuu, naona nianze na programming ambayo inakubli online.
 
Kabla hujafikria kusoma IT, MASWALI: 1.Unajua maana ya IT? 3.kwanini IT? 4.Una Basic ya IT? 5.Unapenda IT au umeahidiwa kazi? Brother kama hauna msingi wa ICT na unategemea kwenda Mwanza,mimi nakushauri uende pale Jengo la PPF kuna ofisi za UCC utasoma IT na utakuwa mwana IT mzuri. By the way kuhusu mda siyo issue tena coz kuna session za Jioni.
 
hiyo ppf na ucc iko dar sehemu gani?na hao wanaofundisha wanatoza mshiko sh ngapi?
 
Back
Top Bottom