Msaidie tu amependa awe na signature yakeIli iweje
Ngoja waje wajuviMsaidie tu amependa awe na signature yake
Mimi niko tofauti na The IcebreakerIli iweje
Kivipi yani mkuu?Mimi niko tofauti na The Icebreaker
Wajuzi=wanaojuaNgoja waje wajuvi
Asante Oni Sigala toka BAKITAWajuzi=wanaojua
Wajuvi=wajuba/wajeuri
Done…hata kwenye app ya simu inawezekana.Kama ni hizi zipo kama tagline, bofya kwenye account utaona sehemu inaitwa "signature". Vinaonekana kwenye PC tu lakini.
View attachment 3633808
Kila la kheri kwake katika kuweka signature