MEING'ATI
JF-Expert Member
- Feb 17, 2014
- 1,212
- 1,009
Safi mkuu wewe ndio fundiTafuta lnb ya njia 2 au 4 ila itabidi ununue na decorder nyingine
Ukitumia decorder hiyo tv zote zitaonesha channel hiyo hiyo
Safi mkuu wewe ndio fundiTafuta lnb ya njia 2 au 4 ila itabidi ununue na decorder nyingine
Ukitumia decorder hiyo tv zote zitaonesha channel hiyo hiyo
KabisaTv zinaweza kuonyesha ila channel itakuwa ni moja, yaani ukibadili channel kwenye decoda na kwenye Tv zote Inabadilika
Ndio hivoUnamaanisha ntakuwa nalipia vifurushi katika ving'amzi viwili
Ndio wala haina shida dish ni dish hata yale ya zamani makubwa yanafaaVipi inawezekana kutumia dish LA startimes kwenye king'amuzi cha azam?
Huyo wa kwanza tu ndio alikuwa hajafunga vizuri au lilijuwa limepinda ila hamna dish linalosumbuagaNdio inawezekana..mimi ninaking'amuzi cha Azam na dishi lake..sasa dishi liliyumba kama mara mbili ivi fundi akanambia ili nisahau maswala yakuyumba yumba nitafute kadish kastar times hako ukiweka umeweka japo toka anirekebishie kwamara yamwisho halijayumba tena konami nikapotezea kutafuta tena dish la startimes
Hii pia ina shida ukiwasha dicoda zote tp ikiwa tofauti polariti usumbufu ni mkubwa na saa zingin zinaweza unguza dikodaInawezekana kwa namna mbili:
1. Kama una dish moja na king'amuzi kimoja, basi utahitaji kifaa chenye 1 input ya HDMI, na 2 outputs. Kwa maana utachomeka hicho kifaa kwenye king'amuzi chako, alaf kwenye zile 2 outputs utachomeka 2 HDMI cables ambazo zote zitaenda kwenye Tv mbili tofautu.
Ubaya wa hii ni kwamba, tv zote zitaonesha channel moja, maana king'amuzi ni kimoja.
2. Unakuwa na dish moja, ila ving'amuzi vinakuwa zaidi ( mfano viwili au vitatu). Hapa utahitaji T-connector. Let say unaving'amuzi viwili. Ule waya unaotoka kwenye dish mpaka ndani, ukifika ndani connect kwenye port moja ya ile T-connector, alaf katika zile port 2 zinazobaki, unaunganisha tena waya zingine kama ule uliotoka kwenye dish, alaf kila waya unaupeleka kwenye king'amuzi. Hapa kila tv utaona channel unayotaka.
Njia hii ya pili unaweza kuitumia kwa pia kuunganisha nyaya toka madishi tofauti, alaf ndani ya nyumba ukaingia waya mmoja tu ambao utaweza kuutumia kwenye ving'amuzi vyote.
...Inawezekana kwa namna mbili:

Nielekeze Sasa namna ya kufanya
Vipi inawezekana kutumia dish LA startimes kwenye king'amuzi cha azam?
Maybe, mayb not. Mimi nimeitumia sana hii, so far sijawahi kutana na tatizo lilote.Hii pia ina shida ukiwasha dicoda zote tp ikiwa tofauti polariti usumbufu ni mkubwa na saa zingin zinaweza unguza dikoda
Oky nitafanya mpango wa kuweka hizo picha mkuu....
Jibu bora hadi sasa
Ongeza kapicha walau kwa hizo njia za mwisho ...
Wadau picha zinaongea zaidi ya maandishi ...
...
Inatokea sana mkuu labda wewe unatumia polariti mojaMaybe, mayb not. Mimi nimeitumia sana hii, so far sijawahi kutana na tatizo lilote.
Inawezekana kwa 10000% mkuuVipi inawezekana kutumia dish LA startimes kwenye king'amuzi cha azam?
Inategemea na dish la startimes toleo gani.kuna yale meupe yanakuwa makubwa kidogo, yanalingana na madish ya dstv uwa yapo fresh hata ukifunga kwenye dstv una uwakika wa kupata signal za juu.Wakuu naomba niulize hili kama litawezekana pia;
Nina king'amuzi cha startimes na dish lake,ila nataka kutumia na dstv je nikiweka king'amuzi cha dstv pekee bila dish lake yaan nikawa natumia lile la startimes je itawezekana?,kama inawezekana nielekezwe na namna ya kuconnect from dish to ving'amuzi na je uelekeo wa dish hautabadilika pale unapokamata wa startmes?...asante!
Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app