sameerkhan
Member
- Nov 5, 2015
- 97
- 34
Habari za muda huu, naomba msaada kama inawezekana, natumia simu aina ya tecno C8 nahitaji kubadilisha aina tofautitofauti za miandiko (fonts style) bila ku-root simu yangu.
Msaada please,
Msaada please,
Tecno c8 inahitaji rooting and app ya fonts .....haina setting za fonts yenyewe kama yenyeweMbona mi natumia tecno w4 inafont nyingi sana kwenye setting
Yeah Hios zina built in fontsTecno hios zote zina built-in fonts , zina kitu kinaitwa mirror vision etc its amazing yaan
W4 ni marshmallow tayari wamekupa uhuru wa kufnya hivyo katika ile Rom.Mbona mi natumia tecno w4 inafont nyingi sana kwenye setting
Nina upgrade vipi to marshmallow msaada plsUpgrade tu kwnda android ya marshmallows utapata miandko tofaut tofaut
Kama simu ipi mkuuTafuta Simu Yenye Built In Fonts Kma Autaki Kuroot Simu.
Jinsi ya kuaupdate to marshmallow sijui naanzajeTecno hios zote zina built-in fonts , zina kitu kinaitwa mirror vision etc its amazing yaan