habari wakuu, nami pia nataka kubadili font katika aqua M4 dual nashindwa yanitaka ni root device niko tayaru kuroot ila nashindwa maana hai connect kwenye pc nimejaribu kila troubleshooting ila nilifanikiwa kwa muda tu kisha baadae ikakataa tena. msaada tafadhali kama naweza ku root bila kutumia pc.
simu ni sony experia aqua M4 dual
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.