Naweza kupata wapi ng'ombe aina ya Fleckvieh, ambayo ni the second largest dairy breed in the world?

nenda kijiji cha ifunda, iringa uliza tu kwa mzungu wa ngombe, anauza madume na mbegu(sperm anauza $3,000) pia na mara nyingi hupeleka ngombe wake huko kwenye maonyesho kenya na south africa.
Mkuu anao fleckvieh??
 
CHASHA FARMING ,

..mkulima smartintiatives / shamba darasamkusi wanasema wanao ng'ombe wa aina nyingi ikiwemo Fleckvieh.

..pia wametoa namba zao za simu kuwa ni 0764915692 na 0713178868.

..yeyote atakayewasiliana nao aje kutupa mrejesho kuhusu huduma zao, kama ni nzuri, au la.



Cc balimar
 
Sio kweli Arusha hawana huyu ng'ombe
NAIC wanauza mashahawa tu

..jamaa wa mkulimasmart wametoa tangazo kwamba wanaweza kuagiza fleckvieh toka Kenya.

..Kenya wanacho chama cha wafugaji na wazalishaji wa ng'ombe aina ya fleckvieh.
 
..jamaa wa mkulimasmart wametoa tangazo kwamba wanaweza kuagiza fleckvieh toka Kenya.

..Kenya wanacho chama cha wafugaji na wazalishaji wa ng'ombe aina ya fleckvieh.
Naomba mawasiliano au hata link ya kupata hii taarifa
Fleckvieh hiyo ni habari nyingine ety
 
Naomba mawasiliano au hata link ya kupata hii taarifa
Fleckvieh hiyo ni habari nyingine ety

balimar,

..jamaa wa mkulimasmart wanasema wanaweza kuagiza ng'ombe wa Fleckvieh toka Kenya na kuwaletea wateja Tanzania.

..namba za simu walizotoa ni 0764915692 na 0713178868.

..tutaomba mrejesho kuhusu jinsi mkulimasmart walivyokuhudumia.

..sikiliza video ya mkulimasmart hapo wanazungumzia huduma zao.

 
jamaa tupe majibu ulipata hao ngombe, ni habari ya shamba kwa sasa kila mfugaji anawawizia , una jicho la dhahabu uliona mbali sana ,nangalia post yako ina miaka 9 sasa , mimi natembea na fresian tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom