Naweza kupata wapi mjusi mwenye kichwa chekundu?

wa stendi

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
24,688
26,796
Wanajamvi poleni na harakati,

Naombeni mwongozo nitapata wapi yule mjusi mkubwa mwenye kichwa chekundu anaependa kujianika juu ya mawe makubwa!

Huyu mjusi kwa jina la kitaalam sijui ila kilugha namjua huwa anapenda sana kuota jua kwenye mawe mtoni au kwenye miamba mikubwa!

Nakumbuka kipindi nawinda huko vijijini ukimpiga na manati anakwepa kama ana akili vile!

Msaada please naweza mpata wapi!!!
 
Ee bwana umepata njia ya kuwatoa airport? Maana najua bei yake Europe ni hela ndefu sana, vipi woodpecker ulimpata maana wanapatikana tarangire kwa wingi
 
Wapo wengi ila wakikukamata nao ujue umekwisha ni nyara za serikali hizi hawana tofauti na Meno ya tembo kila la heri ila chunga wasije kukufanyia press conference
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…