wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 24,688
- 26,795
Wanajamvi poleni na harakati,
Naombeni mwongozo nitapata wapi yule mjusi mkubwa mwenye kichwa chekundu anaependa kujianika juu ya mawe makubwa!
Huyu mjusi kwa jina la kitaalam sijui ila kilugha namjua huwa anapenda sana kuota jua kwenye mawe mtoni au kwenye miamba mikubwa!
Nakumbuka kipindi nawinda huko vijijini ukimpiga na manati anakwepa kama ana akili vile!
Msaada please naweza mpata wapi!!!