Naweza kupata wapi beet roots na komamanga kwa Dar?

MAJIYAPWANI

JF-Expert Member
Oct 1, 2017
966
1,225
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyosema ni wapi naweza pata hayo matunda kwa Dar es Salaaam na je beibyake kiasi gani kuanzi robo, nusu, au kilo.

Asanteni.
 
Komamanga hizi hapa kwangu.... karibu
IMG_20221129_152030.jpg
 
Back
Top Bottom