P chatila JF-Expert Member Joined Oct 1, 2015 Posts 375 Reaction score 283 Feb 26, 2018 #1 Nina tv yangu flat tv aina ya BOSS INCH 24 imegongwa kioo kikafa, so naweza nikapata kioo kwa Tanga au Dar na kinaweza kufika shilling ngapi?? Msaada please
Nina tv yangu flat tv aina ya BOSS INCH 24 imegongwa kioo kikafa, so naweza nikapata kioo kwa Tanga au Dar na kinaweza kufika shilling ngapi?? Msaada please
Jephta2003 JF-Expert Member Joined Feb 27, 2008 Posts 6,745 Reaction score 6,656 Feb 26, 2018 #2 Nunua tu tv nyingine,bei ya kioo na ufundi ni karibia na bei ya tv nyingine ya aina hiyo
P chatila JF-Expert Member Joined Oct 1, 2015 Posts 375 Reaction score 283 Feb 27, 2018 Thread starter #3 Jephta2003 said: Nunua tu tv nyingine,bei ya kioo na ufundi ni karibia na bei ya tv nyingine ya aina hiyo Click to expand... Ok,, inafika kiasi gani??
Jephta2003 said: Nunua tu tv nyingine,bei ya kioo na ufundi ni karibia na bei ya tv nyingine ya aina hiyo Click to expand... Ok,, inafika kiasi gani??