Naweza kupata S6 mpya kwa laki nane?

Naweza kupata S6 mpya kwa laki nane?

American nigga

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2014
Posts
704
Reaction score
1,053
Wazee naweza kupata Samsung S6 brand new kwa 800000

Naombeni msaada wazee?
 
Watoto wa chuo mna matatizo makubwa sana................sasa na vocha atakupa nani
 
Du,labda feki,cm ya milion moja na laki nane we upate kwa laki nane du,au upate ya uizi,nunu cm nyingine nzuri kulingana na hela yako,hiyo tuache sisi ndiyo tunaweza kupambana nazo,muda wako utafika na wewe utanunua
 
???????????????????
 
Tafuta 1.4 utapata ukishindwa nicheki na pia kama una 630000 njoo nkupe s5 mpya kabisa ncheki pm
 
Wazee naweza kupata Samsung S6 brand new kwa 800000

Naombeni msaada wazee?
_
Huwezi kupata S6 halisi kwa hiyo bei, ila utapata clone yake ! S6 original ni habari nyingine kabisa! Kwa S6 clone hiyo laki nane utakuwa umepigwa! Hiyo waweza kuipata kwa laki NNE hadi tano.
 
Du,labda feki,cm ya milion moja na laki nane we upate kwa laki nane du,au upate ya uizi,nunu cm nyingine nzuri kulingana na hela yako,hiyo tuache sisi ndiyo tunaweza kupambana nazo,muda wako utafika na wewe utanunua

Sawa ngoma nzito
 
Back
Top Bottom