Wakuu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza, huku mtandaoni naweza kupata katiba ambayo ipo updated?
Naomba kama kuna mtu anajua anijuze au kama ana softcopy(pdf) pia nitashukuru.
Hee 😳😳😳, sasa mbona hii ipo very inconvenient, kwanini sheria zote zisiwekwe sehemu moja, kuna ubaya gani au hasara gani sheria zote zikawa kwenye sehemu moja. Kwahiyo inawezekana sheria za madini, ndoa na mambo mengine zimetengwa kivyake vyake na mtu akitaka kuaccess contents za hizo sheria itabid akazipate wapi?.
Dah, nilikuwa silijuagi hili swala kabisa, kwahiyo kuna mpango wowote wa kuintegrate sheria zote ziwe sehemu moja au watu ndo tumeshazoea?
Enhee hiyo sheria ya ndoa naipata wapi, naomba uweke link kama unayo plz.