Mahengeson
New Member
- Jul 17, 2011
- 3
- 0
Uwezo wa wazungu unatokana na fursa wanayopata ya kujua mambo mengi in general. Mfano, Mwafrika wa kawaida anaweza akawa na akili sana lakini hajui kutumia computer au kupata nafasi ya kuyafahamu mambo mbali mbali ya kidunia kupitia Internet, magazeti na kusoma vitabu sana. Hii inatokana na mifumo yetu ya elimu na pia tunakokulia. Tofauti na hivyo, Wazungu, in general wana opportunity kubwa ya kupata vitabu au kutumia internet tangu wakiwa wadogo kabisa na hivyo kujua mambo mengi akiwa bado mdogo. Mimi nadhani Waafrika tuna uwezo mkubwa wa kufikiri kama wao ila tunachokosa ni fursa. Pia, uwezo wa kufikiri unaweza kuongezeka kama kwanza utakubali madhaifu yako na nguvu zako kisha kufikiri positively. Ukizidi kufikiri kushindwa, utashindwa na kama utafikiri mafanikio, utafanikiwa. Labda cha muhimu ni kufanya mazowezi ya mara kwa mara ya kufikiri na hii inasaidiwa kwa kushiriki katika mijadala kama wenzangu walivyosema. Mada au kufikiri kwako lazima ujitahidi kuendane na umri wako au zaidi.
......................wazo tuu la kuwa na haja ya kuongeza uwezo wa kufikiri,tayari umejiongezea uwezo kwani utakuwa tayari umejifanyia tathmnini na kuona kuwa una uwezo kiasi fulani,hivyo unahitaji kufikia kiasi fulani ndo hata kuona kuwa wazungu uliofanya kazi nao wanauwezo kuliko wewe................ushauri wangu,jitahidi hiyo kiu yako isikutoke,.....kadri kiu inapokuwa kubwa ndo jinsi uwezo unavyokuwa mkubwa................,kuna watu wengine hata hilo walo la kuongeza uwezo wa kufikiri hawana,.......nikupe hongera uwezo wako ni mkubwa sana,kama huamini angali michango ktk mada hii,pamoja na huu wangu niliokupa.............,naamini nina uwezo mkubwa na wewe pia na ningependa kuuongeza,hata wewe pia.kuna uwezekano wa binadamu kuongeza uwezo wake wa kufikiri,pls help
invisible mimi ni 37 na ni mwanamke,uwezo wangu wa kuwaza unaweza kuwa sawa na wa mwanaume mwenye age yangu?halafu kwa nini wazungu uwezo wao uko juu sana,naongea hili kwa sababu nimefanya nao kazi na nimeona mwenyewe jinsi walivyo na uwezo mkubwa!!!!
Nami nimepata kitu hapa! shukrani kwa wachangiaji.
invisible mimi ni 37 na ni mwanamke,uwezo wangu wa kuwaza unaweza kuwa sawa na wa mwanaume mwenye age yangu?halafu kwa nini wazungu uwezo wao uko juu sana,naongea hili kwa sababu nimefanya nao kazi na nimeona mwenyewe jinsi walivyo na uwezo mkubwa!!!!
Kuna dawa ya mchanganyo wa matunda mbalimbali inaitwa brain activator kamuone dr ndodi
Mimi najua kama unataka kuwa na uwezo mkubwa wa kufikiri nakushauri ufanye yafuatayo ndugu:
1.kuwa vegeterian
2.acha aina zote za vilevi
3.fanya mazoezi ya viungo kwenye maeneo yenye hewa safi.
4.soma majarida mbalimbali yenye kujenga ufahamu mpya.
5.fanya meditation kwa mpangilio maalum .
6.kama utaweza jaribu kuongezea yoga kidogo kupata matokeo mazuri
Haya sasa kazi ni kwako mpendwa
lakini mbona madaktari wengi kabla ya kufanya operation wanalewa kwanza???nafikiri pombe inaongeza uwezo wa kufikiri[/QUOT
walevi wengi wanakumbukumbu kweli na wengine wana akili sana na wazuri katika fani zao.baadhi ya walimu wa vyuo walevi wengine huingia darasani wakiwa wamepasha kidogo na bado wanamwaga nyanga za kufa mtu.nafiki kuna haja ya utafiti wa kitaalamu kuhusu wanywaji wa pombe na pombe .
Unataka kufikiri nini?